Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

1.Aaliyah, miaka 22. Alikuwa ni mwimbaji wa muziki, alifariki kwa ajali ya ndege.

2.Malcom X, miaka 39. Alikuwa ni mwanaharakati wa haki za biinadamu. Aliuwawa.

3.Martin Luther King, miaka 39. Alikuwa pia mwanaharakati. Aliuwawa na watu wasiojulikana

4.Whitney Houston, miaka 49. Mwanamuziki. Alifariki kwa madawa.

5.2pac, miaka 25. ALikuwa mwanamuziki, Aliuwawa kwa kupigwa risasi.

6.Bob Marley, miaka 36. Mwanamuziki maarufu wa Reggae. Alifariki kwa Kansa.

7.Bruce Lee, miaka 32. Actor wa filamu za mapigano, sababu za kifo zake bdo ni utata mpaka leo.

8.John F. Kennedy, miaka 46. Rais wa Marekani. Aliuwawa kwa risasi.

9.Princess Diana, miaka 36. Alikuwa ni mke wa mtoto wa Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa ajali ya gari, wengi wanashuku ajali hiyo ilipangwa.

10.Ernest Che Guevara, miaka 39. Mwanamapinduzi wa Argentina. Aliuwawa na CIA.
PLO LUMUMBA
 
Thanks mkuu kwa maelezo mazuri but ungeweka na picha ili tuwafahamu zaidi
 
JACOBY JONES (11/07/1984-14/07/2024)

1721338546419.png
 
9.Princess Diana, miaka 36.
Alikuwa ni mke wa mtoto wa
Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa
ajali ya gari, wengi wanashuku
ajali hiyo ilipangwa.9.Princess Diana, miaka 36.
Alikuwa ni mke wa mtoto wa
Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa
ajali ya gari, wengi wanashuku
ajali hiyo ilipangwa........
........ Huyu princess Diana alikufa kwa ajali ya gari wakat akiwakimbia mapaparazi nchini ufaransa aligonga nguzo ya umeme. Hyo ni baada ya kuachana na mtoto wa malkia na kujiingiza kwenye mahusiano na jamaa flan hvi japo sikumjua vizr aliyekuwa anamchukua kwa kipind hicho
alichukuliwa na Dod Al Fayed mtoto wa tajiri Al Fayed mwenye duka kubwa la vito wingereza.
Walikuwa na asili ya kiarabu
 
daah...ni kweli, ila kwa list yangu nilichagua hao tuu
Nadhani list yako ipo viuri zaidi ukizingatia title ya uzi wako! Watu maarufu duniani!!! Kwani Aisha Madinda ni maarufu duniani au Tanzania tu?
 
Back
Top Bottom