Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

Kibongo bongo kufa chini ya miaka hamsini ni kawaida sana. Watu wanakufa hovyo hovyo tu, kila siku misiba na maturubai kila kona. Watu wamezoea vifo mpaka mwenzao akifa hawashtuki kabisa, tena hawapati tabu ya kumwuliza daktari sababu ya kifo ni nini, wao wanafukia tu.
Waulize wasiulize bado atafukiwa tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Alikuwa ni people's princes hata umauti ulipomfika nilikuwa huko na jeneza lake nililishuhudia nilishtuka sana kwani alikuwa hana majivuno alikuwa anakuja na watoto wake bado wakiwa wadogo Mac Donald ya Kensington karibu na kwao, tatizo ni Prince nae akaamua kutembea na watu kadhaa kama major Hewitt aliekuwa anamfundisha kupanda farasi na Dr mmoja mpakistan na tajiri moja la mafuta mmarekani baada ya hapo ndipo akawa na Dodi mtoto wa bosi wa Fulham na aliekuwa mmiliki wa duka kubwa duniani (Harrod's) ambapo sasa limeuzwa. Kabla alisema atatangaza karibuni kitu ambacho dunia itashangaa,ndipo wakammaliza na Dodi pia
Mwaka gani huo mkuu
 
Huyu princess Diana alikufa kwa ajali ya gari wakat akiwakimbia mapaparazi nchini ufaransa aligonga nguzo ya umeme. Hyo ni baada ya kuachana na mtoto wa malkia na kujiingiza kwenye mahusiano na jamaa flan hvi japo sikumjua vizr aliyekuwa anamchukua kwa kipind hicho
Dodi, baba yake alikuwa mmliki wa timu ya Fulham
 
Mtoto wa Dandu
Eddy Shaggy
Salim Abdallah Yazid
Motie Reginald
Steven Kanumba
Natina( Aliimba na Kurupt wimbo- Its over)
Hamis Amigolas( sina hakika kama alifikisha 50yrs mwaka huu)
Banza Stone
 
Back
Top Bottom