Watu maarufu na majina halisi waliyopewa wakati wa kuzaliwa


Hivi ulifikiria nini kuweka hao obi na huyo Abraham kwenye list ya magwiji?
 
Nicholas Diego leonos=lil xan
Jahseh Dwayne Ricardo onfroy=xxx tectantion
Gazzy garzia=lil pump
Symere Wood=lil Uzi vert
Miles park mc collum=lil yacht
David Andrew burd =lil dicky
Khalif malik lbn schaman Brown=swae Lee
Kimetrius Christopher foose =lil skies
Daniel Hernandez=tekashi 6ix9ine
 
Leleth Khumalo=Sarafina
Whoop Goldsberg=Miss Masumbuka[emoji38][emoji38]
 
Jayceon Terrell Taylor, better known by his stage name THE GAME, is an American rapper, songwriter, record producer and actor.
 
Naona kama we are on the same boat,,,huyu jamaa namkubali dunia ya 12
yaani hakuna mwanamziki ambae namkubali dunia kama huyu jamaa ...nina nyimbo zake kama zote kwa hiyo bamdogo ni cheo nimempa bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…