Watu maarufu na majina halisi waliyopewa wakati wa kuzaliwa

Nataka kujua jina la Kigogo2014 wa twitter
 
Hizi tetesi/tuhuma hata mimi nilizisikia ila sidhani kama zimethibitishwa officially!
Ingawaje hazijathibitishwa officially lakini naamini ni kweli!

Naamini ni kweli kwa sababu ingawaje watu wengi walisikia hizi tuhuma wakati wa sakata la dawa za kulevya lakini kwa mara ya kwanza zililetwa hapa JF tangia mwaka 2015 na dada mmoja ambae maelezo yake wala hayakuonesha kabisa kwamba yana harufu ya kisiasa... alionesha kumfahamu tangia kitambo!

Achana na tuhuma alizokuwa ametoa Gwajima anayekuja juu kila akikosolewa!
 
Sejad Sérgio Sadick - Sajôr-Sérgio
Juan Luis Londoño Arias - Maluma
José Alvaro Osorio Balvín - J Balvín
Rebecca Marie Gomez - Becky G
Ramón Luis Ayala Rodríguez - Daddy Yankee
Nick Rivera Caminero - Nicky Jam
William Omar Landrón Rivera - Don Omar
Juan Luis Morera Luna - Wisin
Llandel Veguilla Malavé - Yandel
Benito Antonio Martínez Ocasio - Bad Bunny
Juan Carlos Ozuna Rosado - Ozuna
Natalia Alexandra Gutiérrez Batista - Natti Natasha
Larissa de Macado Machado - Anitta
Justin Rafael Quiles Rivera - J Quiles
Shakira Isabel Mebrak Ripoll - Shakira
Nadir Khayat - RedOne
Mohombi Nzasi Moupondo - Mohombi
Çiljeta Xhilaga - Çilieta
 
List yako haijaenea maana sijamuona Chibu d
 
mkuu wewe inaonekana ni mpenzi sana wa nyumbo za Latin America
 
Pierre-Emerick Emiliano François Aubameyang
Poul labiola François pogba
 
1. Augustine Miles Kelechi - Tekno Miles
2. Oluwatobiloba Daniel Anidugbe - Kizz Daniel
3. Ayodeji Ibrahim Balogun - WizKid
4. David Adedeji Adeleke - Davido
5. Ayoleyi Hanniel Solomon - Reekado Banks.
 
Humu Jamiiforums wengi wetu ni maarafu sana ndiyo maana hatutumii majina yetu halisi tuliyopewa ya kuzaliwa...



Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…