Patrick Lumumba = Patrice Lumumba.1. John F Kennedy 1963
2. Martin Luther King 1968
3. Patrick Lumumba 1961
4. Malcolm X 1968
5. Robert Kennedy 1968
6. Tom Mboya 1969
7. Gama Pinto 1965.
Miaka ya 60's ilitokea mauaji ya viongozi wakubwa huko Marekani, Kenya na Zaire.
Je wahusika wakuu wa mauaji haya walikuwa nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
namba 7. Gama pinto ni nani ?,1. John F Kennedy 1963
2. Martin Luther King 1968
3. Patrick Lumumba 1961
4. Malcolm X 1968
5. Robert Kennedy 1968
6. Tom Mboya 1969
7. Gama Pinto 1965.
Miaka ya 60's ilitokea mauaji ya viongozi wakubwa huko Marekani, Kenya na Zaire.
Je wahusika wakuu wa mauaji haya walikuwa nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho wa siku hata hao wauaji nao hua wanakufa . Hakuna marefu yasiyo na ncha. Jana nimemsikia moja Dsm akipinga katakata ujio wa democracy nchini mwetu.1. John F Kennedy 1963
2. Martin Luther King 1968
3. Patrick Lumumba 1961
4. Malcolm X 1968
5. Robert Kennedy 1968
6. Tom Mboya 1969
7. Gama Pinto 1965.
Miaka ya 60's ilitokea mauaji ya viongozi wakubwa huko Marekani, Kenya na Zaire.
Je wahusika wakuu wa mauaji haya walikuwa nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
John na Robert ni ndugu wa damu kabisanamba 7. Gama pinto ni nani ?,
John f kennedy na Robert kennedy ni ndugu ?,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho wa siku hata hao wauaji nao hua wanakufa . Hakuna marefu yasiyo na ncha. Jana nimemsikia moja Dsm akipinga katakata ujio wa democracy nchini mwetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
YeahDuh halafu wakauwawa wote. Huyo Robert alikuwa mwanasiasa pia?
namba 7. Gama pinto ni nani ?,
John f kennedy na Robert kennedy ni ndugu ?,
Sent using Jamii Forums mobile app