Watu maarufu waliouawa 1960 - 1970

Watu maarufu waliouawa 1960 - 1970

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,084
1. John F Kennedy 1963
2. Martin Luther King 1968
3. Patrick Lumumba 1961
4. Malcolm X 1968
5. Robert Kennedy 1968
6. Tom Mboya 1969
7. Gama Pinto 1965.

Miaka ya 60's ilitokea mauaji ya viongozi wakubwa huko Marekani, Kenya na Zaire.
Je wahusika wakuu wa mauaji haya walikuwa nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Patrick Lumumba = Patrice Lumumba.
 
Waliuliwa na watu waliokuwa wakipinga mambo au mitizamo fulani fulani ya kisiasa au ya kijamii waliyokuwa wakiamini.
 
1. John F Kennedy 1963
2. Martin Luther King 1968
3. Patrick Lumumba 1961
4. Malcolm X 1968
5. Robert Kennedy 1968
6. Tom Mboya 1969
7. Gama Pinto 1965.

Miaka ya 60's ilitokea mauaji ya viongozi wakubwa huko Marekani, Kenya na Zaire.
Je wahusika wakuu wa mauaji haya walikuwa nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
namba 7. Gama pinto ni nani ?,
John f kennedy na Robert kennedy ni ndugu ?,

Mwisho wa siku hata hao wauaji nao hua wanakufa . Hakuna marefu yasiyo na ncha. Jana nimemsikia moja Dsm akipinga katakata ujio wa democracy nchini mwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vita baridi kati ya mabepari marekani na urusi majamaa, viongozi wengi waliokuwa na sera ya ujamaa waliuwawa! nyerere alikoswakoswa kupinduliwa mwaka 1964 na 1970!
 
Yap ndio wauwaji wanauwa japokuwa wanajua na wao watakufa,lkn kwanza wanatimiza jukumu na malengo yao,
Tena kwenye mambo ya utawala kuuwa ni kitu simple tu,
Mwisho wa siku hata hao wauaji nao hua wanakufa . Hakuna marefu yasiyo na ncha. Jana nimemsikia moja Dsm akipinga katakata ujio wa democracy nchini mwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pio Gama Pinto (31 March 1927 – 24 February 1965) was a Kenyan journalist, politician and freedom fighter. He was a socialist leader who dedicated his life to the liberation of the Kenyan people and became independent Kenya's first martyr in 1965.[

namba 7. Gama pinto ni nani ?,
John f kennedy na Robert kennedy ni ndugu ?,

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom