Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Umakini uliompa Gwajima unatokana na nini? Namuona hana huo Umakini uliompatia.Je, CCM huwaweka kitimoto wabunge wake mara tu wanapoapishwa?
Wanakuwa watu makini lakini huwezi kuwaona wakiipinga serikali kwenye masuala muhimu kama haya ya kodi.
Inatia ukakasi sana.
Hahahaaaa.........!Mbunge halafu makini Tena wa kawe mwisho wa CCM?
Mkuu usijisumbue CCM haiwez kutoa mbunge makini hata kidogo
Kuwa serious kidogo
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hakika hakuna mbunge makini ccmMbunge halafu makini Tena wa kawe mwisho wa CCM?
Mkuu usijisumbue CCM haiwez kutoa mbunge makini hata kidogo
Kuwa serious kidogo
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
gwajima unamuita mbunge makini? kama unaweka hopes kwa mbunge kama huyo.. you are so so wrongJe, CCM huwaweka kitimoto wabunge wake mara tu wanapoapishwa?
Wanakuwa watu makini lakini huwezi kuwaona wakiipinga serikali kwenye masuala muhimu kama haya ya kodi.
Inatia ukakasi sana.
🤣🤣🤣 Kikubwa ni kugonga meza mkuu hayo mwengine mtajua wenyewJe, CCM huwaweka kitimoto wabunge wake mara tu wanapoapishwa?
Wanakuwa watu makini lakini huwezi kuwaona wakiipinga serikali kwenye masuala muhimu kama haya ya kodi.
Inatia ukakasi sana.
CCM wote wako hiviJe, CCM huwaweka kitimoto wabunge wake mara tu wanapoapishwa?
Wanakuwa watu makini lakini huwezi kuwaona wakiipinga serikali kwenye masuala muhimu kama haya ya kodi.
Inatia ukakasi sana.
KASHIRIKI KUUPITISHA HUO UHARAMIA ULITAKA ASEME NINIJe, CCM huwaweka kitimoto wabunge wake mara tu wanapoapishwa?