Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
INGAwa Mwenye kiti Mbowe amejitahidi kuzima watu makini kwa muda mrefu ili abaki yeye peke yake lakini bado naamini wapo watu makini
Nashauri wajitokeze watu makini NDANI ya chadema wamchukulie Heche fomu ya makamu
Mbowe bila aibu anataka kutuaminisha kwamba Chadema inamtegemea yeye peke yake kuliko Mfumo wake
Hii inatosha kabisa kumuondoa kwenye hiyo nafasi , kwa kujenga chama kinachomtegemea MTU mmoja.
Maanake akifa au akiondoka na chama kife ni kiwango kikubwa Cha ubinafsi kisichotakiwa kwenye public party
Ikiwezekana tuiteshe mchango humu humu tumchangie Heche