Watu mashuhuri 10 waliopendwa sana na hayati Magufuli katika utawala wake wa awamu ya 5

Amonaidhi mbona thimuoni
 
#4 ametuachia mzigo mkubwa.

Kulinda katiba ya nchi isivunjwe huku ukiwakabidhi wavunjaji wa katiba nchi sidhani kama ni ushujaa kama ni kufeli basi haina tofauti na failure ya mtoto darasa la nne anapofel MOKO.
Atajitetea kwamba hakujua kama watavunja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…