Watu mashuhuri mnaopenda show off za magari mamlaka zinawatamani sana.

Watu mashuhuri mnaopenda show off za magari mamlaka zinawatamani sana.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Unapopenda show off kuonyesha ndinga kali mitandaoni hakikisha kwenye mfumo wa mamlaka ndinga Yako haina vipengele yaani physical na rekodi Zinafanana other wise unawapa watu kazi za kufanya na wanachukia mnavyojificha kwenye kivuli cha chawa wa mama.

More Focus ni kwa wale mnaofanya import kutoka South Africa na Dubai japo wale wa Japan na nyie ni kama kenge kwenye msafara wa mamba na nyie ndani.

Unapofanya magumashi ni vyema ukawa na msuli wa kifedha na connection za wakubwa lolote likitokea ili vijana wafokewe.
 
Back
Top Bottom