Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 2,818
- 7,940
Katika kinyanganyiro cha kuwania ubunge baadhi ya watu mashuhuri na maarufu wametolewa kwenye mchujo wa ubunge mwaka 2025 kwa tiketi ya chama cha CCM huku wengine ambao wamekuwa wakihudumu kama wabunge kukosa nafasi ya kuaminiwa tena kutetea ubunge wao mwaka 2025 hivyo kutolewa kwenye orodha ya mchujo huo. Miongoni mwa watu hao waliopigwa chini ni;
Jina: Luhaga Mpina
Jimbo Alilotia nia 2025: Kisesa
Jimbo alilohudumia miaka ya nyuma: Kisesa tangu 2005 hadi sasa
Wizara Alizowahi kuhudumu:
Jina: January Makamba
Jimbo Alilotia nia 2025: Bumbuli
Jimbo alilohudumia miaka ya nyuma: Bumbuli tangu Novemba 2010 hadi sasa
Wizara Alizowahi kuhudumu:
Jina: Mrisho Gambo
Jimbo Alilotia nia 2025: Arusha Mjini
Jimbo alilohudumia miaka ya nyuma: Arusha Mjini tangu Novemba 2020
Jina: Christopher Ole‑Sendeka
Jimbo Alilotia nia 2025: Simanjiro
Jimbo alilohudumia miaka ya nyuma: Simanjiro tangu Novemba 2010 (na tena tangu 2020-2025)
Jina: Pauline Gekul
Jimbo Alilotia nia 2025: Babati Mjini
Jimbo alilohudumia miaka ya nyuma: Babati Mjini tangu 2010 hadi 2025
Wizara Alizowahi kuhudumu:
Jina: Lengai Ole‑Sabaya
Jimbo Alilotia nia 2025: Arumeru Magharibi
Jina: Stephen Byabato
Jimbo Alilotia nia 2025: Bukoba Mjini
Jimbo alilohudumia miaka ya nyuma: Bukoba Mjini tangu 2020 hadi sasa
Wizara Alizowahi kuhudumu
Jina: Anjelina (Angeline) Mabula
Jimbo Alilotia nia 2025: Ilemela
Jimbo alilohudumia miaka ya nyuma: Ilemela tangu 2015 (mwaka 2022 hadi sasa)
Wizara Alizowahi kuhudumu:
Jina: Seif Gulamali
Jimbo Alilotia nia 2025: Manonga
Jina: Mwijaku
Jimbo Alilotia nia 2025: Mvomero
Jina: Mkojani
Jimbo Alilotia nia 2025: Temeke
Jina: Hersi Said
Jimbo Alilotia nia 2025: Kigamboni
Jina: Shabani Matwebe
Jimbo Alilotia nia 2025: Rufiji
Jina: Mparuka Mtopela
Jimbo Alilotia nia 2025: Ruangwa
Jina: Mangungu
Jimbo Alilotia nia 2025: Kilwa Kaskazini
Jina: Kulwa Biteko
Jimbo Alilotia nia 2025: Katoro
Jina: Furaha Domnick
Jimbo Alilotia nia 2025: Kawe
Jina: Harafat Haji
Jimbo Alilotia nia 2025: Shauri Moyo (Zanzibar)
No: 1
Jina: Luhaga Mpina
Jimbo Alilotia nia 2025: Kisesa
Jimbo alilohudumia miaka ya nyuma: Kisesa tangu 2005 hadi sasa
Wizara Alizowahi kuhudumu:
- Waziri wa Ufugaji na Uvuvi (Minister of Livestock and Fisheries, Oktoba 2017–Juni 2020)
No: 2
Jina: January Makamba
Jimbo Alilotia nia 2025: Bumbuli
Jimbo alilohudumia miaka ya nyuma: Bumbuli tangu Novemba 2010 hadi sasa
Wizara Alizowahi kuhudumu:
- Waziri Msaidizi katika Ofisi ya Makamu wa Rais (Masuala ya Umoja na Mazingira) 2015–2019
- Waziri wa Nishati (Septemba 2021–Agosti 2023)
- Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (Septemba 2023–Julai 2024)
No: 3
Jina: Mrisho Gambo
Jimbo Alilotia nia 2025: Arusha Mjini
Jimbo alilohudumia miaka ya nyuma: Arusha Mjini tangu Novemba 2020
No: 4
Jina: Christopher Ole‑Sendeka
Jimbo Alilotia nia 2025: Simanjiro
Jimbo alilohudumia miaka ya nyuma: Simanjiro tangu Novemba 2010 (na tena tangu 2020-2025)
No: 5
Jina: Pauline Gekul
Jimbo Alilotia nia 2025: Babati Mjini
Jimbo alilohudumia miaka ya nyuma: Babati Mjini tangu 2010 hadi 2025
Wizara Alizowahi kuhudumu:
- Naibu Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria (2020–2023)
No: 6
Jina: Lengai Ole‑Sabaya
Jimbo Alilotia nia 2025: Arumeru Magharibi
No: 7
Jina: Stephen Byabato
Jimbo Alilotia nia 2025: Bukoba Mjini
Jimbo alilohudumia miaka ya nyuma: Bukoba Mjini tangu 2020 hadi sasa
Wizara Alizowahi kuhudumu
- Naibu Waziri, Nishati (2022–2023)
- Naibu Waziri, Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (2023–2024)
No: 8
Jina: Anjelina (Angeline) Mabula
Jimbo Alilotia nia 2025: Ilemela
Jimbo alilohudumia miaka ya nyuma: Ilemela tangu 2015 (mwaka 2022 hadi sasa)
Wizara Alizowahi kuhudumu:
- Naibu Waziri, Ardhi, Makazi na Maendeleo ya Makazi (Deputy Minister, 2015–2022)
- Waziri wa Ardhi na Makazi (Jan 2022–Agosti 2023)
No: 9
Jina: Seif Gulamali
Jimbo Alilotia nia 2025: Manonga
No: 10
Jina: Mwijaku
Jimbo Alilotia nia 2025: Mvomero
No: 11
Jina: Mkojani
Jimbo Alilotia nia 2025: Temeke
No: 12
Jina: Hersi Said
Jimbo Alilotia nia 2025: Kigamboni
No: 13
Jina: Shabani Matwebe
Jimbo Alilotia nia 2025: Rufiji
No: 14
Jina: Mparuka Mtopela
Jimbo Alilotia nia 2025: Ruangwa
No: 15
Jina: Mangungu
Jimbo Alilotia nia 2025: Kilwa Kaskazini
No: 16
Jina: Kulwa Biteko
Jimbo Alilotia nia 2025: Katoro
No: 17
Jina: Furaha Domnick
Jimbo Alilotia nia 2025: Kawe
No: 18
Jina: Harafat Haji
Jimbo Alilotia nia 2025: Shauri Moyo (Zanzibar)