Hakuna UchaguziKatika kinyanganyiro cha kuwania ubunge baadhi ya watu mashuhuri na maarufu wametolewa kwenye mchujo wa ubunge mwaka 2025 kwa tiketi ya chama cha CCM huku wengine ambao wamekuwa wakihudumu kama wabunge kukosa nafasi ya kuaminiwa tena kutetea ubunge wao mwaka 2025 hivyo kutolewa kwenye orodha ya mchujo huo. Miongoni mwa watu hao waliopigwa chini ni;
No: 1
Jina: Luhaga Mpina
Jimbo Alilotia nia 2025: Kisesa
Jimbo alilohudumia miaka ya nyuma: Kisesa tangu 2005 hadi sasa
Wizara Alizowahi kuhudumu:
View attachment 3423567
- Waziri wa Ufugaji na Uvuvi (Minister of Livestock and Fisheries, Oktoba 2017–Juni 2020)
No: 2
Jina: January Makamba
Jimbo Alilotia nia 2025: Bumbuli
Jimbo alilohudumia miaka ya nyuma: Bumbuli tangu Novemba 2010 hadi sasa
Wizara Alizowahi kuhudumu:
View attachment 3423566
- Waziri Msaidizi katika Ofisi ya Makamu wa Rais (Masuala ya Umoja na Mazingira) 2015–2019
- Waziri wa Nishati (Septemba 2021–Agosti 2023)
- Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (Septemba 2023–Julai 2024)
No: 3
Jina: Mrisho Gambo
Jimbo Alilotia nia 2025: Arusha Mjini
Jimbo alilohudumia miaka ya nyuma: Arusha Mjini tangu Novemba 2020
View attachment 3423565
No: 4
Jina: Christopher Ole‑Sendeka
Jimbo Alilotia nia 2025: Simanjiro
Jimbo alilohudumia miaka ya nyuma: Simanjiro tangu Novemba 2010 (na tena tangu 2020-2025)
View attachment 3423561
No: 5
Jina: Pauline Gekul
Jimbo Alilotia nia 2025: Babati Mjini
Jimbo alilohudumia miaka ya nyuma: Babati Mjini tangu 2010 hadi 2025
Wizara Alizowahi kuhudumu:
- Naibu Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria (2020–2023)
View attachment 3423562
No: 6
Jina: Lengai Ole‑Sabaya
Jimbo Alilotia nia 2025: Arumeru Magharibi
View attachment 3423560
No: 7
Jina: Stephen Byabato
Jimbo Alilotia nia 2025: Bukoba Mjini
Jimbo alilohudumia miaka ya nyuma: Bukoba Mjini tangu 2020 hadi sasa
Wizara Alizowahi kuhudumu
View attachment 3423559
- Naibu Waziri, Nishati (2022–2023)
- Naibu Waziri, Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (2023–2024)
No: 8
Jina: Anjelina (Angeline) Mabula
Jimbo Alilotia nia 2025: Ilemela
Jimbo alilohudumia miaka ya nyuma: Ilemela tangu 2015 (mwaka 2022 hadi sasa)
Wizara Alizowahi kuhudumu:
View attachment 3423563
- Naibu Waziri, Ardhi, Makazi na Maendeleo ya Makazi (Deputy Minister, 2015–2022)
- Waziri wa Ardhi na Makazi (Jan 2022–Agosti 2023)
No: 9
Jina: Seif Gulamali
Jimbo Alilotia nia 2025: Manonga
View attachment 3423564
No: 10
Jina: Mwijaku
Jimbo Alilotia nia 2025: Mvomero
View attachment 3423555
No: 11
Jina: Mkojani
Jimbo Alilotia nia 2025: Temeke
View attachment 3423558
No: 12
Jina: Hersi Said
Jimbo Alilotia nia 2025: Kigamboni
View attachment 3423553
No: 13
Jina: Shabani Matwebe
Jimbo Alilotia nia 2025: Rufiji
View attachment 3423554
No: 14
Jina: Mparuka Mtopela
Jimbo Alilotia nia 2025: Ruangwa
View attachment 3423557
No: 15
Jina: Mangungu
Jimbo Alilotia nia 2025: Kilwa Kaskazini
View attachment 3423552
No: 16
Jina: Kulwa Biteko
Jimbo Alilotia nia 2025: Katoro
View attachment 3423556
No: 17
Jina: Furaha Domnick
Jimbo Alilotia nia 2025: Kawe
View attachment 3423551
No: 18
Jina: Harafat Haji
Jimbo Alilotia nia 2025: Shauri Moyo (Zanzibar)
View attachment 3423550
Waende Chauma chama pachawaunde chama au waje chadema
Dotto kaonewa. Mbona wengine wameruhusiwa? Yani yeye tu ndo hafai kisa familia Moja?Katika kinyanganyiro cha kuwania ubunge baadhi ya watu mashuhuri na maarufu wametolewa kwenye mchujo wa ubunge mwaka 2025 kwa tiketi ya chama cha CCM huku wengine ambao wamekuwa wakihudumu kama wabunge kukosa nafasi ya kuaminiwa tena kutetea ubunge wao mwaka 2025 hivyo kutolewa kwenye orodha ya mchujo huo. Miongoni mwa watu hao waliopigwa chini ni;
No: 1
Jina: Luhaga Mpina
Jimbo Alilotia nia 2025: Kisesa
Jimbo alilohudumia miaka ya nyuma: Kisesa tangu 2005 hadi sasa
Wizara Alizowahi kuhudumu:
View attachment 3423567
- Waziri wa Ufugaji na Uvuvi (Minister of Livestock and Fisheries, Oktoba 2017–Juni 2020)
No: 2
Jina: January Makamba
Jimbo Alilotia nia 2025: Bumbuli
Jimbo alilohudumia miaka ya nyuma: Bumbuli tangu Novemba 2010 hadi sasa
Wizara Alizowahi kuhudumu:
View attachment 3423566
- Waziri Msaidizi katika Ofisi ya Makamu wa Rais (Masuala ya Umoja na Mazingira) 2015–2019
- Waziri wa Nishati (Septemba 2021–Agosti 2023)
- Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (Septemba 2023–Julai 2024)
No: 3
Jina: Mrisho Gambo
Jimbo Alilotia nia 2025: Arusha Mjini
Jimbo alilohudumia miaka ya nyuma: Arusha Mjini tangu Novemba 2020
View attachment 3423565
No: 4
Jina: Christopher Ole‑Sendeka
Jimbo Alilotia nia 2025: Simanjiro
Jimbo alilohudumia miaka ya nyuma: Simanjiro tangu Novemba 2010 (na tena tangu 2020-2025)
View attachment 3423561
No: 5
Jina: Pauline Gekul
Jimbo Alilotia nia 2025: Babati Mjini
Jimbo alilohudumia miaka ya nyuma: Babati Mjini tangu 2010 hadi 2025
Wizara Alizowahi kuhudumu:
- Naibu Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria (2020–2023)
View attachment 3423562
No: 6
Jina: Lengai Ole‑Sabaya
Jimbo Alilotia nia 2025: Arumeru Magharibi
View attachment 3423560
No: 7
Jina: Stephen Byabato
Jimbo Alilotia nia 2025: Bukoba Mjini
Jimbo alilohudumia miaka ya nyuma: Bukoba Mjini tangu 2020 hadi sasa
Wizara Alizowahi kuhudumu
View attachment 3423559
- Naibu Waziri, Nishati (2022–2023)
- Naibu Waziri, Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (2023–2024)
No: 8
Jina: Anjelina (Angeline) Mabula
Jimbo Alilotia nia 2025: Ilemela
Jimbo alilohudumia miaka ya nyuma: Ilemela tangu 2015 (mwaka 2022 hadi sasa)
Wizara Alizowahi kuhudumu:
View attachment 3423563
- Naibu Waziri, Ardhi, Makazi na Maendeleo ya Makazi (Deputy Minister, 2015–2022)
- Waziri wa Ardhi na Makazi (Jan 2022–Agosti 2023)
No: 9
Jina: Seif Gulamali
Jimbo Alilotia nia 2025: Manonga
View attachment 3423564
No: 10
Jina: Mwijaku
Jimbo Alilotia nia 2025: Mvomero
View attachment 3423555
No: 11
Jina: Mkojani
Jimbo Alilotia nia 2025: Temeke
View attachment 3423558
No: 12
Jina: Hersi Said
Jimbo Alilotia nia 2025: Kigamboni
View attachment 3423553
No: 13
Jina: Shabani Matwebe
Jimbo Alilotia nia 2025: Rufiji
View attachment 3423554
No: 14
Jina: Mparuka Mtopela
Jimbo Alilotia nia 2025: Ruangwa
View attachment 3423557
No: 15
Jina: Mangungu
Jimbo Alilotia nia 2025: Kilwa Kaskazini
View attachment 3423552
No: 16
Jina: Kulwa Biteko
Jimbo Alilotia nia 2025: Katoro
View attachment 3423556
No: 17
Jina: Furaha Domnick
Jimbo Alilotia nia 2025: Kawe
View attachment 3423551
No: 18
Jina: Harafat Haji
Jimbo Alilotia nia 2025: Shauri Moyo (Zanzibar)
View attachment 3423550
Wana tofauti gani na kibajaji? labda kama unapima perfomance zao ukitokea kwenye soka la bongoMangungu, Hersi, na Arafat wangepita ningehama nchi,,