Unamdanganya nani?Bahati mbaya mimi siyo Lumumba Konki .. Siyo mwanasiasa mzee wala siyo shabiki wa vyama vya siasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamdanganya nani?Bahati mbaya mimi siyo Lumumba Konki .. Siyo mwanasiasa mzee wala siyo shabiki wa vyama vya siasa
Sawa ,Unamdanganya nani?
Siku ya mwisho kila goti litapigwaCCM mwenzenu huyo
Mm nilitaka kuona ajabu. Watu Milioni mbili? Temeke nzima idadi hiyo hatufiki. Ina mana watu wote wa Temeke waache kazi zao waende kwenye kikao hiko uwanja huo utakuwajePopulation ya Mbeya+Songwe haifiki 2M. Labda watu wengine wametoka Zambia
Mnatukanana wenyewe kwa wemyewe sasa.Wewe ni kiazi mbatata kilaza wa barvicha
USSR
Siku hizi umekuwa Afisa Habari wa Chadema! Kweli duniani kuna maajabu.
Mil 2 haiwezi kumuingiza mtu ikulu!
Mm ni chadema ila sifagilii huu ujinga wa ku edit picha, sasa unamdanganya nani na kwa faida Gani?