Watu mil 2 wahudhuria mkutano wa Chadema Tunduma. Chadema ipo juuu

Population ya Mbeya+Songwe haifiki 2M. Labda watu wengine wametoka Zambia
Mm nilitaka kuona ajabu. Watu Milioni mbili? Temeke nzima idadi hiyo hatufiki. Ina mana watu wote wa Temeke waache kazi zao waende kwenye kikao hiko uwanja huo utakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…