The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Viongozi wa africa wanapaswa kuwajibikia watu wao na sio kufanya anasa za kijinga .Uyu mzee mbinafsi sana
Uchumi wao Marekani haufanyi vizuri wakati wa kwetu unazidi kukua hivyo wanaanza kutufanyia figisu kutaka kutuzuia tusiende kwao by Sasha MhamiajiHatua ya Donald Trump kupunguza kiwango kikubwa cha ufadhili wa Marekani kuelekea misaada ya kibinadamu ya kigeni inaweza kusababisha vifo vya zaidi ya watu milioni 14 ifikapo mwaka 2030, kulingana na utafiti uliochapishwa katika jarida la matibabu la The Lancet.
Theluthi moja ya wale walio katika hatari ya kukabiliwa na vifo vya mapema ni watoto, utafiti umebaini.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio alisema mwezi Machi kwamba utawala wa Rais Trump ulifuta zaidi ya asilimia 80 ya programu zote katika Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani, USAID.
"Kwa nchi nyingi za kipato cha chini na wastani, mshtuko unaosababishwa unaweza kulinganishwa kwa kiwango na janga la kimataifa au mzozo mkubwa wa silaha," Davide Rasella, ambaye aliandika ripoti ya Lancet, alisema katika taarifa.
Kusishwa ghafla kwa ufadhili huo "kunatishia kurudisha nyuma''- hatua zilizopigwa miongo miwili iliyopota katika juhudi za kuimarisha afya miongoni mwa watu walio katika hatari," aliongeza Rasella, mtafiti katika Taasisi ya Barcelona ya Afya Ulimwenguni.
Ripoti hiyo inakuja wakati makumi ya viongozi wa dunia wanakutana katika mji wa Seville nchini Uhispania wiki hii kwa mkutano wa misaada unaoongozwa na Umoja wa Mataifa.
Watafiti hao wa walichambua data kutoka mataifa 133, kukadiria kuwa ufadhili wa USAID ulikuwa umezuia vifo milioni 91 katika nchi zinazoendelea kati ya 2001 na 2021.
Kivipi?Uyu mzee mbinafsi sana
Trump yupo sahihi kabisa, kuna wasomi wengi kabisa wanashindwa nini kuwa tumia ? Wanasumbua tu majumbani hakuna wanachofanya maisha ya nyumbani ni hovyo tu wanajaza makaratasi tu badala wakavumbue huko tupate madawa watengeneze vitu, mpaka tuvijiti twakutolea uchafu kwenye meno tunaagiza China si ujinga huu!Trump yuko sahihi. Viongozi wa africa wanapata wapi ela za kununua baiskeli mitungi na pikipiki halafu wanakosa hela za kugaramia matibabu wanataka marekani ijibane ilete africa hiyo sio sawa.
Kila siku cag anaonyesha upotevu wa pesa na hakuna anaewajibishwa wala kuambiwa pesa ilipotea vipi na itarudije. Bado tu mnataka marekani iendelee kuwasaidia watu kama hao? Tubadilike kwanza sisi ndipo tuweze kumlaumu trump
Kachaguliwa na raia wa Marekani kua kiongozi wao, hakuchaguliwa kua rais wa dunia. In fact anaona jinsi viongozi wa Africa wanavyo yaibia mataifa yao na kwenda kuficha pesa huko huko kwao, I wish all incoming president of USA to copy from Trump.Uyu mzee mbinafsi sana
Trump haendi mbinguni walai
Kila mtu akale alikopeleka mbogaKachaguliwa na raia wa Marekani kua kiongozi wao, hakuchaguliwa kua rais wa dunia. In fact anaona jinsi viongozi wa Africa wanavyo yaibia mataifa yao na kwenda kuficha pesa huko huko kwao, I wish all incoming president of USA to copy from Trump.
Kila mtu apambane na hali yake.Hatua ya Donald Trump kupunguza kiwango kikubwa cha ufadhili wa Marekani kuelekea misaada ya kibinadamu ya kigeni inaweza kusababisha vifo vya zaidi ya watu milioni 14 ifikapo mwaka 2030, kulingana na utafiti uliochapishwa katika jarida la matibabu la The Lancet.
Theluthi moja ya wale walio katika hatari ya kukabiliwa na vifo vya mapema ni watoto, utafiti umebaini.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio alisema mwezi Machi kwamba utawala wa Rais Trump ulifuta zaidi ya asilimia 80 ya programu zote katika Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani, USAID.
"Kwa nchi nyingi za kipato cha chini na wastani, mshtuko unaosababishwa unaweza kulinganishwa kwa kiwango na janga la kimataifa au mzozo mkubwa wa silaha," Davide Rasella, ambaye aliandika ripoti ya Lancet, alisema katika taarifa.
Kusishwa ghafla kwa ufadhili huo "kunatishia kurudisha nyuma''- hatua zilizopigwa miongo miwili iliyopota katika juhudi za kuimarisha afya miongoni mwa watu walio katika hatari," aliongeza Rasella, mtafiti katika Taasisi ya Barcelona ya Afya Ulimwenguni.
Ripoti hiyo inakuja wakati makumi ya viongozi wa dunia wanakutana katika mji wa Seville nchini Uhispania wiki hii kwa mkutano wa misaada unaoongozwa na Umoja wa Mataifa.
Watafiti hao wa walichambua data kutoka mataifa 133, kukadiria kuwa ufadhili wa USAID ulikuwa umezuia vifo milioni 91 katika nchi zinazoendelea kati ya 2001 na 2021.
Tufike hatua tuanze kuwawajisha viongozi wetu. Trump is not accountable for our health. Ni aibu kubwa sana kwa baba anaetegemea kuilisha familia yake kwa pesa za kuomba omba, ni zaidi ya ujinga. We need more Trump's so that we can start managing our own financesTrump haendi mbinguni walai
Kumbuka Kuna wasiojiweza wanahitaji msaada mkuu binadamu hatulingani!Tufike hatua tuanze kuwawajisha viongozi wetu. Trump is not accountable for our health. Ni aibu kubwa sana kwa baba anaetegemea kuilisha familia yake kwa pesa za kuomba omba, ni zaidi ya ujinga. We need more Trump's so that we can start managing our own finances
Sio mbinafsi africa mmeshalemazwaUyu mzee mbinafsi sana