Watu milioni 8 wanafariki kila mwaka kutokana na matumizi ya Tumbaku

Watu milioni 8 wanafariki kila mwaka kutokana na matumizi ya Tumbaku

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607


Utafiti wa Shirikisha la Afya Duniani (WHO) umebaini utumiaji wa bidhaa za Tumbaku hausababishi magonjwa ya kuambuliza lakini asilimia 50 ya watumiaji wake wanafariki.

Kwa mwaka watu zaidi ya milioni 8 hufariki kwa sababu ya matumizi ya tumbaku, vifo milioni 7 ya vifo hivyo hutokana na matumizi ya moja kwa moja wakati milioni 1.2 ni kutokana na utumiaji wa bidhaa za tumbaku usio wa moja kwa moja
 
Back
Top Bottom