Utafiti wa Shirikisha la Afya Duniani (WHO) umebaini utumiaji wa bidhaa za Tumbaku hausababishi magonjwa ya kuambuliza lakini asilimia 50 ya watumiaji wake wanafariki.
Kwa mwaka watu zaidi ya milioni 8 hufariki kwa sababu ya matumizi ya tumbaku, vifo milioni 7 ya vifo hivyo hutokana na matumizi ya moja kwa moja wakati milioni 1.2 ni kutokana na utumiaji wa bidhaa za tumbaku usio wa moja kwa moja