Una takwimu?" VYUMA VIMEKAZA" najiuliza2 uhisiano upi uliokuwepo kati ya vyuma kukaza na ugumu wa maisha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
daaah! umemalizaPambana na hali yako,vyuma vimekaza,900 itapendeza,Daudi Bashite,makinikia,chibudii chibudee, Tundu Antipass lisu...kibiti,harmorapa....
Mkuu nimesahau kuamsha dude ya Gwajimadaaah! umemaliza
hahaha! wabongo wakatafutia maana yao hadi kutungia nyimboMkuu nimesahau kuamsha dude ya Gwajima