Watu, misemo na vitu vilivyokiki 2017

Watu, misemo na vitu vilivyokiki 2017

edimkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
213
Reaction score
139
Habari wana jamii forum,wakati tukiendelea kuhitimisha mwaka 2017 hivi ni misemo gani ,au watu au Vitu vilivyo heat mwaka 2017? Mimi naanza na "expansion joint"
 
DAUD ALBERT BASHITE vs Dr Gwajima.

Yaani ubashite Presidah = Bashite

Makkonda RC Mzizima = Bashite .

Usisahau watu wasiojulikana. Waliomininia TLS boss risasi 40. Yaani watu wasiojulikana na kamwe hawatajulikana ila wapo hapo Kijitonyama.
 
" VYUMA VIMEKAZA" najiuliza2 uhisiano upi uliokuwepo kati ya vyuma kukaza na ugumu wa maisha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Pambana na hali yako,vyuma vimekaza,900 itapendeza,Daudi Bashite,makinikia,chibudii chibudee, Tundu Antipass lisu...kibiti,harmorapa....
 
Nakala ya cheti chake cha form IV ninacho, alipata Fa, Fa, Fa. Fa masomo yote. Yaani alizungusha 0 kanisa sema 0.

Yule kiumbe anaeitwa Manyigu kwa ki-Nyakyusa.
 
Back
Top Bottom