Watu mkatae au mkubali, Clouds (CMG) kupata mpinzani sio leo na wala hatokuja kutokea

Jimmy De Lite

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
635
Reaction score
2,321
Hey pals, najua mko poa.

Nimekuwa nikishuhudia kelele nyingi za vijana wasio na kazi (jobless) wakidang'anyana na kutiana moyo kuwa eti Wasafi imekuja kuipoteza Clouds😁😁😁😁. Hiki ni moja ya kichekesho kuwahi kutokea.

Kipindi EFM imekuja hizi kelele zilikuwepo nyingi za kutosha lakini majibu watu wameshayapata. Na hao watangazaji walioko hapo Wasafi ndio walikuwa huko EFM. Kama kweli hao presenters ni wakali kihivyo walishindwa nini kuipoteza Clouds😁😁😁. Eti oooh Kitenge ni hatari wakina Shaffih wakasome.

Achana na hao sijui akina vitenge sijui Edo Kunembe, kuna wale akina Jonijoo utangazaji na swagga zote wamejifunza kwa akina Mchomvu. Na kila mtangazaji unayemuona nchi hii ujue role model wake yupo pale Clouds.

Sioni mpinzani wa Clouds kwa miaka ya hivi karibuni ila Clouds watapata watu wa kuwaongezea ubunifu tu,

Na kuhusu Wasafi Festival kuwa mpinzani wa Tigo Fiesta, najua watu mshaona kuwa Wasafi hawawezi ule muziki,wewe kuwa na wasanii wako wanao hit ila Clouds wao hata wakiwachukua wasanii wa singeli tu lazima uwanja wajaze😁😁😁

Jimmy-The-Inimitable.
 
Mpaka sasa Bado huamini??
 
Sawa baba joni..
 
Sidhani kama watangazaji wazuri pekee ndo wanaifanya Clouds iwe hapo ilipo bali management pia.

Kuna watangazaji waliondoka Clouds wakiwa kwenye ubora wao lakini wameshindwa kuvisaidia vituo walivyohamia ili vishindane na Clouds.
 
The more you think and claim they are in competition, the more they get business advantage.

Kumbuka kuna investors wengi nyuma ya hizo media. Na kinachochezwa hapo ni divide and conquer. Kuna strategists na akili zao wamekaa na kutengeneza hio game hapo ili kuwin market ya haters na fans.

See this, kuna watu 100 around af uko na product A ina fans 50 na haters 50 kati ya hao 100. Njia rahisi ya kuongeza faida ni kutengeneza mshindani wa product A ambaye ndie product B coz haters wana nature ya kukomoa, unaweza kukuta mtu hahitaji product B lkn akainunua tu ili kuikomoa product A.

Kuna vitu fln ktk akili ya binadam ukiweza kuvi-utilise ktk biashara utapata faida sana baadhi ni.
1)Human ego
2)Curiousity

Na hata ukiangalia kwa makini social media zote kubwa zina-utilise indirectly hizo factors na ndio maana hata hawa watu wa digital media nao wanaiga
 
Sidhani kama watangazaji wazuri pekee ndo wanaifanya Clouds iwe hapo ilipo bali management pia.

Kuna watangazaji waliondoka Clouds wakiwa kwenye ubora wao lakini wameshindwa kuvisaidia vituo walivyohamia ili vishindane na Clouds.
Nimezungumzia watangazaji Kutokana na wapinzani wao kujidai kuwa wamepata watangazaji wakali na wenye majina na kusahau kuwa ili media isimame hutegemea uzuri wa management na namna ya kushape presenter wake.
 
Hapa hatuzungumzii investors Bali competition kati ya media hizi.
 
kama hamna wapinzani kwa nn mnatesekaaaaaaa?
tulieni hivyo hivyo kama mnanyolewa chiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii......
#balaaaaaaaaaaa
#ziiiiiiiiiiiiiiiiiitooooooooooooooo
 
Ivi clouds bado wapo, wanapatikana kingamuzi gani?
 
kama hamna wapinzani kwa nn mnatesekaaaaaaa?
tulieni hivyo hivyo kama mnanyolewa chiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii......
#balaaaaaaaaaaa
#ziiiiiiiiiiiiiiiiiitooooooooooooooo
kaone haka kajobless😁😁
 
Huku mkoani tuna radio zetu wenywe so hiyo clouds sio favourite radio station zetu
Ukizingatia 85 % ya raia tuishi huku vijijin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…