Watu mkatae au mkubali, Clouds (CMG) kupata mpinzani sio leo na wala hatokuja kutokea

Watu mkatae au mkubali, Clouds (CMG) kupata mpinzani sio leo na wala hatokuja kutokea

Uwezi kulinganisha CLOUDS Tv na wasafi hata, hiyo WASAFI Tv kutwa wanapiga muziki wa nje na bongo flavor hakuna hata kipindi cha maana chakuangalia zaidi ya kuangalia REFRESH, THE BAR TENDER na BLOCK 89 ambayo siku nyingine waoneshe au wasioneshe. ni TV station ambayo bado haina program za vipindi kwa week nzima uwezi fananisha na CLOUDS.
 
Hakuna media yoyote inayoweza kuipoteza clouds kwenye ramani haipo na haijawahi kuwepo kuhusu suala la creativity na management kiukweli clouds wamewazidi mbali sana redio nyingine lakini pia clouds hawawezi kuipoteza wasafi so kati ya hao wawili hakuna wa kumpoteza mwenzake wote wataendelea kuwepo
 
sio kipindi cha JK tu hata kipindi hiki awamu ya 5 mkuu wa mkoa tu ndio apatani na clouds lakini wengi wao clouds hawana shida nayo. Rais tu anaangalia 360 ya clouds na simu anapiga anawasalimia.
Kuangalia ni moja ,lakini je jambo gani la kitaifa kwasasa ambalo clouds inapewa nafasi kuliko TBC, JPM amerudisha mambo yake kwenye taasisi zake, ivyo Clouds sasa ndio mwenye kujipendekeza ata ikiwezekana kulamba watu miguu, Clouds ya JK sio Clouds ya JPM mambo ni tofauti
 
Uwezi kulinganisha CLOUDS Tv na wasafi hata, hiyo WASAFI Tv kutwa wanapiga muziki wa nje na bongo flavor hakuna hata kipindi cha maana chakuangalia zaidi ya kuangalia REFRESH, THE BAR TENDER na BLOCK 89 ambayo siku nyingine waoneshe au wasioneshe. ni TV station ambayo bado haina program za vipindi kwa week nzima uwezi fananisha na CLOUDS.
Hakuna aliesema wasafi anamzidi clouds,ila fahamu kuwa Clouds wa sasa wala aogopeshi kabisa ukipambana unamzidi
 
Basi tufanye umeshinda au!! Kwani Kuna tatizo!!?
 
Hakuna aliesema wasafi anamzidi clouds,ila fahamu kuwa Clouds wa sasa wala aogopeshi kabisa ukipambana unamzidi
Kwani kunaaliekatazwa kupambana na clouds? Lakini kila media anayopambanishwa nayo zinashindwa kutoboa mbele yake.
 
Hakuna aliesema wasafi anamzidi clouds,ila fahamu kuwa Clouds wa sasa wala aogopeshi kabisa ukipambana unamzidi
Wapo walioishindanisha ndio maana nikaandika hiyo comment yangu kitu ambacho tunashindwa kujua ni kwamba, mm sikataki kuwa DIAMOND ni msanii mkali kwenye industry ya muziki lakini tunapokuja kwenye swala la media ni DIAMOND ni underground bado.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna watu wanaota mchana jua lna
waka

Unashindana Na mtu anajitajgazia
Matangazo yake mwenyewe
Bila saport ya media zingne Na
Anajaza mpaka ticket znaisha kabla ya show
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Clouds hata wapeleke fiesta
Pale taifa wanajaza kuliko hata
Cmba Na yanga
 
Kitu ambacho tunatakiwa kujua ni kuwa hata hiyo Clouds wakati inaanza haikuwa na market share kubwa kama ilivyo leo. Walipigana sana mpaka kufikia hapo walipo ktk entertainment industry na wakatengeneza mizizi mirefu ktk eneo hilo. Ukubwa wa Clouds haukujengwa kwa siku moja.

Na kwa miaka mingi hao Clouds hawakuwa na competitor makini kwenye sekta ya burudani...wao ndiyo leaders ktk eneo hilo.

However mambo yalibadilika baada ya media kadhaa za kiburudani kuingia ktk eneo hilo na mambo hayako kama zamani tena. Amini kwamba hao washindani wa kibiashara wa Clouds wakifata strategies nzuri, wakiiga mema ya clouds na kuongeza mapya watapunguza dominance ya clouds ktk kiwanda cha burudani.

Mfano mzuri wa suala hili ni wakati Diamond mwenyewe alipokuwa bado yuko chini ya himaya ya Clouds kabla hawajafarakana. Alikuwa akishiriki kwenye matamasha yao na kusaidia kukuza brands zao. Ila walipofarakana na huenda Clouds walimchukulia poa Diamond wakidhani hawezi kuwatikisa kwenye kiwanda cha burudani.

Ila leo sote ni mashaidi kuwa Diamond na lebel yake wameuteka muziki wa bongofleva kwa muda mrefu sana. Yaani kama ni market share basi wao huenda walikuwa na 80% then 20% ni ya wasanii wengine ambao bado wako chini ya mfumo wa Clouds.

Huenda Clouds hawakutegemea hili but it happened. Kulikuwa na Fiesta tu inayozunguka mikoa mingi nchi hii. Now kuna mshindani mpya(Wasafi festival) ambaye naye amepata ampokezi mazuri.

Kwa kifupi nachosema ni kuwa usijiapize kuwa hatotokea atakayemshusha Clouds, na wala usiwadharau wapinzani wa Clouds. Kuna wakati Yahoo ilikuwa kubwa sana kuliko google, ila leo Google ni kuubwa sana na yahoo ilishauzwa. Market leader yeyote anaweza kupitwa kama wapinzani wake wakifanyia kazi mapungufu yake.
 
Wapo walioishindanisha ndio maana nikaandika hiyo comment yangu kitu ambacho tunashindwa kujua ni kwamba, mm sikataki kuwa DIAMOND ni msanii mkali kwenye industry ya muziki lakini tunapokuja kwenye swala la media ni DIAMOND ni underground bado.
Nakubaliana na wewe ila fahamu sasa Clouds anapata washindani wa kweli
 
Wao wenyewe wanajua shimo walilotumbukia ni kubwa ndo mana wanahangaika na mutu mumoja toka Tandale,wanajipa matumaini wakimuangusha ndo basi

Wasafi media jinsi walivyokubalika haraka hawaamini.Naona wameamua kuongeza mashambulizu kupitia Kinde boy😂😂
 
Hey pals, najua mko poa.

Nimekuwa nikishuhudia kelele nyingi za vijana wasio na kazi (jobless) wakidang'anyana na kutiana moyo kuwa eti Wasafi imekuja kuipoteza Clouds😁😁😁😁. Hiki ni moja ya kichekesho kuwahi kutokea.

Kipindi EFM imekuja hizi kelele zilikuwepo nyingi za kutosha lakini majibu watu wameshayapata. Na hao watangazaji walioko hapo Wasafi ndio walikuwa huko EFM. Kama kweli hao presenters ni wakali kihivyo walishindwa nini kuipoteza Clouds😁😁😁. Eti oooh Kitenge ni hatari wakina Shaffih wakasome.

Achana na hao sijui akina vitenge sijui Edo Kunembe, kuna wale akina Jonijoo utangazaji na swagga zote wamejifunza kwa akina Mchomvu. Na kila mtangazaji unayemuona nchi hii ujue role model wake yupo pale Clouds.

Sioni mpinzani wa Clouds kwa miaka ya hivi karibuni ila Clouds watapata watu wa kuwaongezea ubunifu tu,

Na kuhusu Wasafi Festival kuwa mpinzani wa Tigo Fiesta, najua watu mshaona kuwa Wasafi hawawezi ule muziki,wewe kuwa na wasanii wako wanao hit ila Clouds wao hata wakiwachukua wasanii wa singeli tu lazima uwanja wajaze😁😁😁

Jimmy-The-Inimitable.
Mzee show za mikoani hata amba rutty anajaza, ila kubali ukatae saiv msanii kuhit sio lazima apite mawinguni
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna watu wanaota mchana jua lna
waka

Unashindana Na mtu anajitajgazia
Matangazo yake mwenyewe
Bila saport ya media zingne Na
Anajaza mpaka ticket znaisha kabla ya show
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Clouds hata wapeleke fiesta
Pale taifa wanajaza kuliko hata
Cmba Na yanga
Tuwe wakweli hivi ni show ipi ya wasafi haijazi
 
Hey pals, najua mko poa.

Nimekuwa nikishuhudia kelele nyingi za vijana wasio na kazi (jobless) wakidang'anyana na kutiana moyo kuwa eti Wasafi imekuja kuipoteza Clouds😁😁😁😁. Hiki ni moja ya kichekesho kuwahi kutokea.

Kipindi EFM imekuja hizi kelele zilikuwepo nyingi za kutosha lakini majibu watu wameshayapata. Na hao watangazaji walioko hapo Wasafi ndio walikuwa huko EFM. Kama kweli hao presenters ni wakali kihivyo walishindwa nini kuipoteza Clouds😁😁😁. Eti oooh Kitenge ni hatari wakina Shaffih wakasome.

Achana na hao sijui akina vitenge sijui Edo Kunembe, kuna wale akina Jonijoo utangazaji na swagga zote wamejifunza kwa akina Mchomvu. Na kila mtangazaji unayemuona nchi hii ujue role model wake yupo pale Clouds.

Sioni mpinzani wa Clouds kwa miaka ya hivi karibuni ila Clouds watapata watu wa kuwaongezea ubunifu tu,

Na kuhusu Wasafi Festival kuwa mpinzani wa Tigo Fiesta, najua watu mshaona kuwa Wasafi hawawezi ule muziki,wewe kuwa na wasanii wako wanao hit ila Clouds wao hata wakiwachukua wasanii wa singeli tu lazima uwanja wajaze😁😁😁

Jimmy-The-Inimitable.
Clouds ni kituo cha vijana wasio na maadili, mimi yangu ni eatv/radio
 
Back
Top Bottom