Watu mkatae au mkubali, Clouds (CMG) kupata mpinzani sio leo na wala hatokuja kutokea

Clouds mtaendelea kutapatapa sana na ujio wa Wasafi media km WCB label inavoteseka na ujio wa konde music.... yote kwa yote mond lazima aibuke mshind kwa vile ana wakina innocent dependent na Hance Mtanashati (blood [diehard] fans) wengi kuliko yeyote hapo wanaojua kutoa sapoti kwa kila kitu hata cha kijinga.! kwa lugha nyingine tunasema ni nguvu ya umma

kwa mond, label yake, social networks pamoja na media house, hata uwajumlishe blood fans wa clouds+konde+alikiba na rockstar kiujumla+mavoko+(kifesi, mwarabu, zari, hamisa, qboy)+mange ni < < < (less, less, less than) mond na blood fans wake
 
Sidhani kama watangazaji wazuri pekee ndo wanaifanya Clouds iwe hapo ilipo bali management pia.

Kuna watangazaji waliondoka Clouds wakiwa kwenye ubora wao lakini wameshindwa kuvisaidia vituo walivyohamia ili vishindane na Clouds.
Sure Kuna yule Dina mariooo yeye alienda kupotea kabisa huko efuemu
 
Hapa umezidisha chumvi aiseee
 
Clouds kuna quality+chemistry+creativeness ndani yake..

Kitenge kaenda kuanzisha kipindi cha sports ambacho ni clone ya kile cha EFM..this shows how we are poor in creating new things
Sure Ariff..CMG ni wabunifu sana pia presenters wao wana'chemistry tofauti na Radio zingine.
 
Sure Ariff..CMG ni wabunifu sana pia presenters wao wana'chemistry tofauti na Radio zingine.
All in all Mimi nafurahi kuona vijana Kama kondeboy diamond rayvany mboso muziki unawalipa.tofaut na Hawa wengine wanataka kuwa famous Kama Jay Moe au Mr Nice halafu mfukon hawana kitu......MUZIK NI kupata show na kujaza ukumbi eneo
 
Ivi clouds bado wapo, wanapatikana kingamuzi gani?
ubora wa clouds upo ktk radio station na mambo mengine yanayohusu jamii, sio ktk TV station. hivyo huifanya clouds kuwa mbali sana ukilinganisha na hao wengine wa kizazi kipya.
 
Sure Ariff..CMG ni wabunifu sana pia presenters wao wana'chemistry tofauti na Radio zingine.
Muwe mnasema kweli nguvu ya Clouds imepungua sana , kipindi cha JK ilipewa upendeleo mkubwa utafikiri ndio Radio ya taifa , lakini sasa mambo yamekuwa tofauti
 
Jobless wew.
Wafrika bhana. Mtu akiwa na kikazi na akishika vihela na kununua kagari IST naye anaanza kejeli na mitusi kwa wengine utafikiri yeye ndiyo anafanya kazi na wengine hawafanyi. Kwa akili za muafrika haitatokea kushika namba moja duniani kwa utajiri. Billgate pamoja na kuwa tajiri namba moja duniani lakini alikula wali na maharagwe na watoto yatima. Ungekuwa wewe ungeweza? si ungekuwa unawatemea watu mate usoni kama tu humu unaanza kuwakejeli watu.
Hicho kikazi na vihela vyako ukipiga hesabu haujafikisha hata bilion 8 benki lakini umeanza dharau watu na usikute kazi yenyewe umeajiriwa yaani bosi wenu akifika ofisini unakimbizana na mafaili mpaka unatetemeka. Pole sana. Umekuwa mwili na siyo akili.
JIFUNZE KUWAHESHIMU WATU KWASABABU BINADAMU NDIYO ANATHAMANI NA SIYO PESA WALA KAZI. UKIBEBA MILION 100 UKAINGIA NAZO MSITUNI UTAKUFA NA NJAA NA PESA ZAKO MILIONI 100.
 
Kazi ya Ruge itachukua muda mrefu sana kufutika.
 
PUMBAVU NA UTUKOME WASAFI FM,TV NA WCB KWA UJUMLA TENA KWA HERUFI KUBWA EBOOOOOOH, unakuwa mbumbu tu kama wala bangi wenzako hakuna na hakutotokea kama WASAFI FESTIVAL na kama DIAMOND, GO AND SLEEP PUMBAVUUUUUUU
 
Mbona clouds hamjiamini siku hizi kila siku kujimwambafai......wasafi wanawakosesha amani sana eeeh?
 
Muwe mnasema kweli nguvu ya Clouds imepungua sana , kipindi cha JK ilipewa upendeleo mkubwa utafikiri ndio Radio ya taifa , lakini sasa mambo yamekuwa tofauti
sio kipindi cha JK tu hata kipindi hiki awamu ya 5 mkuu wa mkoa tu ndio apatani na clouds lakini wengi wao clouds hawana shida nayo. Rais tu anaangalia 360 ya clouds na simu anapiga anawasalimia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…