Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,391
- 21,045
Kuangalia ni moja ,lakini je jambo gani la kitaifa kwasasa ambalo clouds inapewa nafasi kuliko TBC, JPM amerudisha mambo yake kwenye taasisi zake, ivyo Clouds sasa ndio mwenye kujipendekeza ata ikiwezekana kulamba watu miguu, Clouds ya JK sio Clouds ya JPM mambo ni tofautisio kipindi cha JK tu hata kipindi hiki awamu ya 5 mkuu wa mkoa tu ndio apatani na clouds lakini wengi wao clouds hawana shida nayo. Rais tu anaangalia 360 ya clouds na simu anapiga anawasalimia.
Hakuna aliesema wasafi anamzidi clouds,ila fahamu kuwa Clouds wa sasa wala aogopeshi kabisa ukipambana unamzidiUwezi kulinganisha CLOUDS Tv na wasafi hata, hiyo WASAFI Tv kutwa wanapiga muziki wa nje na bongo flavor hakuna hata kipindi cha maana chakuangalia zaidi ya kuangalia REFRESH, THE BAR TENDER na BLOCK 89 ambayo siku nyingine waoneshe au wasioneshe. ni TV station ambayo bado haina program za vipindi kwa week nzima uwezi fananisha na CLOUDS.
Kwani kunaaliekatazwa kupambana na clouds? Lakini kila media anayopambanishwa nayo zinashindwa kutoboa mbele yake.Hakuna aliesema wasafi anamzidi clouds,ila fahamu kuwa Clouds wa sasa wala aogopeshi kabisa ukipambana unamzidi
Wapo walioishindanisha ndio maana nikaandika hiyo comment yangu kitu ambacho tunashindwa kujua ni kwamba, mm sikataki kuwa DIAMOND ni msanii mkali kwenye industry ya muziki lakini tunapokuja kwenye swala la media ni DIAMOND ni underground bado.Hakuna aliesema wasafi anamzidi clouds,ila fahamu kuwa Clouds wa sasa wala aogopeshi kabisa ukipambana unamzidi
Nakubaliana na wewe ila fahamu sasa Clouds anapata washindani wa kweliWapo walioishindanisha ndio maana nikaandika hiyo comment yangu kitu ambacho tunashindwa kujua ni kwamba, mm sikataki kuwa DIAMOND ni msanii mkali kwenye industry ya muziki lakini tunapokuja kwenye swala la media ni DIAMOND ni underground bado.
Mambo sasa yanakwenda kuwa tofauti lazima tugawane wasikilizajiKwani kunaaliekatazwa kupambana na clouds? Lakini kila media anayopambanishwa nayo zinashindwa kutoboa mbele yake.
Mzee show za mikoani hata amba rutty anajaza, ila kubali ukatae saiv msanii kuhit sio lazima apite mawinguniHey pals, najua mko poa.
Nimekuwa nikishuhudia kelele nyingi za vijana wasio na kazi (jobless) wakidang'anyana na kutiana moyo kuwa eti Wasafi imekuja kuipoteza Cloudsππππ. Hiki ni moja ya kichekesho kuwahi kutokea.
Kipindi EFM imekuja hizi kelele zilikuwepo nyingi za kutosha lakini majibu watu wameshayapata. Na hao watangazaji walioko hapo Wasafi ndio walikuwa huko EFM. Kama kweli hao presenters ni wakali kihivyo walishindwa nini kuipoteza Cloudsπππ. Eti oooh Kitenge ni hatari wakina Shaffih wakasome.
Achana na hao sijui akina vitenge sijui Edo Kunembe, kuna wale akina Jonijoo utangazaji na swagga zote wamejifunza kwa akina Mchomvu. Na kila mtangazaji unayemuona nchi hii ujue role model wake yupo pale Clouds.
Sioni mpinzani wa Clouds kwa miaka ya hivi karibuni ila Clouds watapata watu wa kuwaongezea ubunifu tu,
Na kuhusu Wasafi Festival kuwa mpinzani wa Tigo Fiesta, najua watu mshaona kuwa Wasafi hawawezi ule muziki,wewe kuwa na wasanii wako wanao hit ila Clouds wao hata wakiwachukua wasanii wa singeli tu lazima uwanja wajazeπππ
Jimmy-The-Inimitable.
Tuwe wakweli hivi ni show ipi ya wasafi haijazi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna watu wanaota mchana jua lna
waka
Unashindana Na mtu anajitajgazia
Matangazo yake mwenyewe
Bila saport ya media zingne Na
Anajaza mpaka ticket znaisha kabla ya show
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Clouds hata wapeleke fiesta
Pale taifa wanajaza kuliko hata
Cmba Na yanga
ipo kwenye system inafutikajeKazi ya Ruge itachukua muda mrefu sana kufutika.
Clouds ni kituo cha vijana wasio na maadili, mimi yangu ni eatv/radioHey pals, najua mko poa.