Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Habari wakuu,
Sikutaka kupitia kwa dalali hivyo nimekuja kwenu moja kwa moja kama una mjengo unauza tuwasiliane moja kwa moja na mimi tufanye biashara natafuta mjengo mmoja mkali sana, hata kama sio ghorofa lakini ni Luxury kali sana tunaweza kufanya biashara.
Napendelea kupata maeneo ya dodoma na dar es salaam ila kama ipo mkoa mwengine nje ya hapo itategemea na mjengo wenyewe.
Angalizo, Sihitaji udalali nataka muuzaji mwenyewe !