Watu mnao miliki mijengo Luxury Mansions Dodoma na Dar es salaam na mnampango wa kuziuza mimi ninatafuta kununua

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Habari wakuu,

Sikutaka kupitia kwa dalali hivyo nimekuja kwenu moja kwa moja kama una mjengo unauza tuwasiliane moja kwa moja na mimi tufanye biashara natafuta mjengo mmoja mkali sana, hata kama sio ghorofa lakini ni Luxury kali sana tunaweza kufanya biashara.

Napendelea kupata maeneo ya dodoma na dar es salaam ila kama ipo mkoa mwengine nje ya hapo itategemea na mjengo wenyewe.

Angalizo, Sihitaji udalali nataka muuzaji mwenyewe !
 
Hiyo ngumu,dalali ni kiunganishi!
 
Kuna eneo potential lipo mbeya sehemu inayowekwa stendi mpya ya mkoa familia inapatoa kwa milioni mia 4

Sababu ya kuuza, pesa ya kupaendeleza aipo inahitajika hoteli au uwepo wa nyumba kali maana panatazamana na stendi....

Pm kama upo interest
 
Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi mwenye uhitaji unipigie 0625784681. Au wasap. Ni nyumba ina apartments 2 na vyoo ndani.
Bei tsh. 23,000,000.00
 
Humu ndio madalali wamejaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…