unauliza Tende BAGHADADI? halafu unajua karume alikuwa kama sadist hivi na ukitaka habari za karume mtafute bwana mmoja anaitwa KEPTENI MALIKI yuko Dar atakupa stori za Karume mka utakimbia mwenyewe
Kwa yeyeote anayejua historia ya Tanzania atakuambia kuwa Nyerere alikuwa na jela zake mithili ya GULAG za stalin ambazo walipelekwa akina Abdillah Schneider Plantan, Sheikh Abdulkarim Abdulwahid, Maalim Popo Saleh, Suleiman Masudi Mnonji, Ali Migeyo, Mufti Sheikh Hassan bin Amir, Sharff Hussein Badawiy, Shariff Mwinyibaba na Shariff Adnan...yap listi haishii hapo inaendelea walikuwepo akina Bilali Rehani Waikela, Sheikh Jumanne Bias, Maalim Matar, Abdalah Mwamba, Sheikh Hashim Haji Abdallah, Sheikh Nurdin Hussein, Salum Abdallah Popo, Sheikh Mzee Ali Comoriam, Sheikh Al Amin Maftah, Rajab Kiguu cha Mbuzi na wengine wengi.
Karume yeye alikuwa hana cha mswalie mtume maana yeye alikuwa anatesa na kuua bila huruma
Nyerere on the otherhand aliamua kuajiri ma Pro kufanya uuaji na mateso kwa niaba yake