Watu Muhimu katika Historia ya Nchi yetu

Game Theory,

Mkuu wangu sii kwamba sisomi hoja zenu isipokuwa zinniboa mapema kabla hata sijafika mbali kwa sababu hapa hatushindani wala hakuna Uhasama kati ya wakristu na waislaam ila wewe ndiye unayetaka kuuvika kilemba.
Nimesema kwamba AbdoulWahid na Mwapachu wazo la kuunda cham cha siasa hakikutokana na Uislaam wao bali Uzalendo wao kwa nchi.
.
Sasa unapokuja na mifano ya AFRICAN AMERICAN na michango yao ktk vita ya Ukombozi wa Marekani ndipo naposema kwamba wapo weusi na weupe walipigana wakiwa pande zote mbili -For and Against - Wapo waliounga serikali ya Malkia na wapo waliopigana against Malkia..yote inategemea wao walikuwa wakiishi sehemu ipi. Kumbuka tu Uandishi wa wananchi kwenda vitani haikuwa swala la Hiyari, maadam mkaazi yako ni South utalazimishwa kupigana against Yankees (North) kama vile Wahindi wekundu nao walipigana vita bila kuchagua Jeshi la Malkia au hao ma Yankee..muhimu ni SABABU na LENGO la vita hiyo hujenga historia...Ndipo naposema haikuwa dini ilowasukuma kina AbdulWahid.. afadhali hata huyo Marreale inajulikana aligombea kwa sababu ya kabila lake -Chagga..
Na hata ukirudi kwa Mjarumani wapo wazee wetu wamepigana for Mjarumani (Askari) na wengine against baada ya nchi yetu kuchukuliwa na Muingereza walikwenda Burma kupiaana chini ya Muingireza hali nchi yetu ikiwa imetawaliwa..Tazama South Afrika, jeshi lao kwa hesabu kubwa ni watu weusi na walipigana na weusi wenzao.. Hivyo unapotaka kuandika Historia ya South kwa nini msiwataje weusi walioasi wakajiunga na weupe!

Kisha basi Wazungu hawataki kukubali mchango wa weusi kwa sababu za kijeshi, siku zote mpambanaji mstari wa mbele huwa hapewi sifa isipokuwa Jenerali..Ni utaratibu ulotumika sehemu zote iwe jikoni au kujenga nyumba..Walalahoi huwa hawahesabiki wala kupewa sifa zaidi ya mishahara yao..Na ndio nafasi ya weusi ktk jeshi la ukombozi wa Marekani na hata maendeleo ya nchi hiyo. pamoja na yote haya ya kutotambuliwa bado inajulikana kwamba walishiriki...

Na kwa kumalizia tu ni kwamba hakuna Mkristu ambaye kasema Waislaam hawakuchangia wala hatushindani kati ya Waislaam na Wakristu kuona kina nani walichangia zaidi...Ni simple minds hizi mkuu wangu, kwa sababu hakuna msikiti wala kanisa ulohamasisha waumini wake kupigania au kutopigania Uhuru wetu isipokuwa watu ktk mazingira, vikundi na vijiwe vyao ndio walijenga mbinu za kutafuta Uhuru.

Umezungumzia kuhusu Wakristu na kupinga vita ya Maji maji, Mkuu wangu vita ile haikuwa kumwondoa Mjerumani Tanzania nzima. Mkwawa na Kinjeketile walitaka kumwondoa Mjarumani ktk ardhi yao na ndio maana vita yote ilielekea katika Boma la Mjarumani..

Kuna makosa mengi sana ambayo sisi sote tuliyafanya kwa sababu hatukuwa organised. Na hata ukitazama ukubwa wa tawala za waislaam enzi hizo ikiwa ni pamoja na Sultan ktk kingo za Pwani kama wangeungana ama kupanga mashambulizi haya kupitia dini basi bila shaka Mjarumani angeshindwa.. Lakini haikuwa hivyo Mkwawa aliingiua vitani na watu wake, wanajeshi wake ambao wewe husemi kama walikuwemo wakristu pia.. yale yale ya Muislaam kukataa ku recognize kwamba jeshi la mkwawa lilikuwa na watu wenye dini tofauti makabila tofauti chini ya mtawala mmoja - Mkwawa. Na zaidi ya yote hatushindani hapa jamani!..

Mkuu wangu, hakuna mafano hata mmoja unaoweza kuuweka ktk dini kwani tumeona Muhammad na maswahaba wake wakipigana vita kwa jina la dini.. Tumemwona Daud, Suleiman, Mussa na hata Yesu wakipambana na tawala dhalimu kwa kutumia jina la dini, siii yaliyotokea Tanzania.

Pamoja na yote haya nashukuru sana kwa mchango wako ingawa mengi uloandika nayafahamu vizuri sana tu..nashukuru Mungu mimi ni mwanafunzi mzuri napenda kusoma na kujielemisha hasa ktk maswala mazito kama haya..Ktk Ku explore reality siwezi kui question dini yeyote ila naweza sana kuwa question waumini -Waislaam au Wakristu..na kufanya hivyo hakuniondoi ktk imani ya dini..Na kizuri zaidi huweza kuiweka dini pembeni nikapima uzito wa hoja kutokana na imani yangu kuwa ni lazima utoke ndani ya kabati upate kuangalia ufundi na uzuri/ubaya wa hata kabati hilo hilo.
Mimi nipo nje lakini nakshi unazoziweka mkuu wangu haziwezi kuuzika hata kama kuna ukweli ndani yake..
Being open minded naelewa fioka athari za dini ktk matumizi yake na hasa wakoloni.. Ndio mna naweza kuelewa kwa nini wakristu wali support utawala wa Mjarumani wakashindwa kupigana nao sawa kabisa na Waislaam walivyoshindwa kupingana against Waarabu wakikusanya watumwa toka bara..tukauzwa kwa wazungu haohao wenye majumba ya kutisha Forts pwani yenye milango inayotisha - DOOR OF NO RETURN...tena basi unaweza kuambiwa huyo - Umsolopa (mlinzi wa lango kuu) alikuwa Mmatumbi kama sisi..
 
Last edited:
Mkandara,

harakati za TANU maeneo ya UCHAGANI zinaelezewa ktk kipande cha habari hapo chini. upinzani kati ya Mangi Shangali na Mangi Marealle ndiyo uliyoiwezesha TANU kujiingiza Kilimanjaro. pia kuwepo kwa kikundi cha vijana wasomi ambao waliona mwanga na faida za utaifa kulisababisha Mangi Mkuu Marealle kushindwa.

In the local field of Chaga politics, however the break came earlier. It did not come from TANU branches as such which, though they had started in 1955 on the mountain, had made little headway among the people. It came from Machame, from the chiefly rival whom Mangi Mkuu had supplanted in 1951. Chief Abdieli Shangali threw the weight of his authority behind his son-in-law, Solomon Eliufoo, and this was the decisive factor. Eliufoo, a commoner from one of the oldest clans in Machame, and a Lutheran-trained teacher, was abroad in the United States and Great Britain from 1953-1956. In 1957 he returned as a teacher and joined the TANU branch in Machame. In 1958 he entered politics; he became a nominated member of the Chagga Council, being nominated by Hai divisional council of which his father-in-law, Chief Abdieli Shangali was chairman. The same year he was elected member of the legislative council in Dar-Es-Salaam on the TANU ticket. From 1958 onwards he was engaged in central politics becoming Minister of Health from 1959 to 1960, and in 1962 Minister of Education, a post which he held up to 1967. At the local level, he organised and led opposition to the Mangi Mkuu and by 1959 he called for the resignation or abdication of the Mangi Mkuu and the democratization for the local governments, forming a new party called Chaga Democratic Party

Chagga Democratic Party
Towards the end of 1959 the opposition of the Chaga Democratic party forced a deadlock in the Chaga Council. A vote was taken in the council as to whether a referendum should be held on Kilimanjaro to decide whether the Chaga wanted a Paramount Chief for life or a periodically elected president. The Vote was carried by a narrow majority, and the Mangi mkuu was abolished. After independence, through Nyerere's socialism and integration policies, the rule of Chiefs, was diminished.
 
Bangusule,
Ingependeza zaidi ungetupa source ya dondoo hii. Thanx.
 
Jasusi,
samahani kutowaletea source, lakini nimeotoa hiyo makala kwenye internet. sote tunapaswa kununua kitabu kinaitwa " a Modern History of Tanganyika." habari zilizopo kwenye kitabu hicho zingeweza kusaidia sana ktk mada hii.

binafsi naamini harakati zile zilijumuisha wananchi wote na hazikuwa na ubaguzi wa aina yoyote ile. sasa ukianza kutuhumu kwamba Kanisa lilipinga uhuru unakutana na habari kwamba Maryknoll ndiyo waliokuwa wakimhifadhi New York. ukiwatuhumu Wachaga napo unakuta kuna vijana wasomi na Mangi walioiunga mkono Tanu dhidi ya Mangi Mkuu. ukidai watumishi wa serikali walipinga uhuru unakutana na kina Nyerere na Elias Kisenge walioacha kazi za serikali kuitumikia Tanu.

binafsi sidhani kama kuna kundi fulani katika jamii yetu lenye hati miliki ya kuleta uhuru Tanganyika.
 
Game Theory,

Mkuu wangu sii kwamba sisomi hoja zenu isipokuwa zinniboa mapema kabla hata sijafika mbali kwa sababu hapa hatushindani wala hakuna Uhasama kati ya wakristu na waislaam ila wewe ndiye unayetaka kuuvika kilemba.
Nimesema kwamba AbdoulWahid na Mwapachu wazo la kuunda cham cha siasa hakikutokana na Uislaam wao bali Uzalendo wao kwa nchi.
.
Sasa unapokuja na mifano ya AFRICAN AMERICAN na michango yao ktk vita ya Ukombozi wa Marekani ndipo naposema kwamba wapo weusi na weupe walipigana wakiwa pande zote mbili -For and Against - Wapo waliounga serikali ya Malkia na wapo waliopigana against Malkia..yote inategemea wao walikuwa wakiishi sehemu ipi. Kumbuka tu Uandishi wa wananchi kwenda vitani haikuwa swala la Hiyari, maadam mkaazi yako ni South utalazimishwa kupigana against Yankees (North) kama vile Wahindi wekundu nao walipigana vita bila kuchagua Jeshi la Malkia au hao ma Yankee..muhimu ni SABABU na LENGO la vita hiyo hujenga historia...Ndipo naposema haikuwa dini ilowasukuma kina AbdulWahid.. afadhali hata huyo Marreale inajulikana aligombea kwa sababu ya kabila lake -Chagga..
Na hata ukirudi kwa Mjarumani wapo wazee wetu wamepigana for Mjarumani (Askari) na wengine against baada ya nchi yetu kuchukuliwa na Muingereza walikwenda Burma kupiaana chini ya Muingireza hali nchi yetu ikiwa imetawaliwa..Tazama South Afrika, jeshi lao kwa hesabu kubwa ni watu weusi na walipigana na weusi wenzao.. Hivyo unapotaka kuandika Historia ya South kwa nini msiwataje weusi walioasi wakajiunga na weupe!

Kisha basi Wazungu hawataki kukubali mchango wa weusi kwa sababu za kijeshi, siku zote mpambanaji mstari wa mbele huwa hapewi sifa isipokuwa Jenerali..Ni utaratibu ulotumika sehemu zote iwe jikoni au kujenga nyumba..Walalahoi huwa hawahesabiki wala kupewa sifa zaidi ya mishahara yao..Na ndio nafasi ya weusi ktk jeshi la ukombozi wa Marekani na hata maendeleo ya nchi hiyo. pamoja na yote haya ya kutotambuliwa bado inajulikana kwamba walishiriki...

Na kwa kumalizia tu ni kwamba hakuna Mkristu ambaye kasema Waislaam hawakuchangia wala hatushindani kati ya Waislaam na Wakristu kuona kina nani walichangia zaidi...Ni simple minds hizi mkuu wangu, kwa sababu hakuna msikiti wala kanisa ulohamasisha waumini wake kupigania au kutopigania Uhuru wetu isipokuwa watu ktk mazingira, vikundi na vijiwe vyao ndio walijenga mbinu za kutafuta Uhuru.

Umezungumzia kuhusu Wakristu na kupinga vita ya Maji maji, Mkuu wangu vita ile haikuwa kumwondoa Mjerumani Tanzania nzima. Mkwawa na Kinjeketile walitaka kumwondoa Mjarumani ktk ardhi yao na ndio maana vita yote ilielekea katika Boma la Mjarumani..

Kuna makosa mengi sana ambayo sisi sote tuliyafanya kwa sababu hatukuwa organised. Na hata ukitazama ukubwa wa tawala za waislaam enzi hizo ikiwa ni pamoja na Sultan ktk kingo za Pwani kama wangeungana ama kupanga mashambulizi haya kupitia dini basi bila shaka Mjarumani angeshindwa.. Lakini haikuwa hivyo Mkwawa aliingiua vitani na watu wake, wanajeshi wake ambao wewe husemi kama walikuwemo wakristu pia.. yale yale ya Muislaam kukataa ku recognize kwamba jeshi la mkwawa lilikuwa na watu wenye dini tofauti makabila tofauti chini ya mtawala mmoja - Mkwawa. Na zaidi ya yote hatushindani hapa jamani!..

Mkuu wangu, hakuna mafano hata mmoja unaoweza kuuweka ktk dini kwani tumeona Muhammad na maswahaba wake wakipigana vita kwa jina la dini.. Tumemwona Daud, Suleiman, Mussa na hata Yesu wakipambana na tawala dhalimu kwa kutumia jina la dini, siii yaliyotokea Tanzania.

Pamoja na yote haya nashukuru sana kwa mchango wako ingawa mengi uloandika nayafahamu vizuri sana tu..nashukuru Mungu mimi ni mwanafunzi mzuri napenda kusoma na kujielemisha hasa ktk maswala mazito kama haya..Ktk Ku explore reality siwezi kui question dini yeyote ila naweza sana kuwa question waumini -Waislaam au Wakristu..na kufanya hivyo hakuniondoi ktk imani ya dini..Na kizuri zaidi huweza kuiweka dini pembeni nikapima uzito wa hoja kutokana na imani yangu kuwa ni lazima utoke ndani ya kabati upate kuangalia ufundi na uzuri/ubaya wa hata kabati hilo hilo.
Mimi nipo nje lakini nakshi unazoziweka mkuu wangu haziwezi kuuzika hata kama kuna ukweli ndani yake..
Being open minded naelewa fioka athari za dini ktk matumizi yake na hasa wakoloni.. Ndio mna naweza kuelewa kwa nini wakristu wali support utawala wa Mjarumani wakashindwa kupigana nao sawa kabisa na Waislaam walivyoshindwa kupingana against Waarabu wakikusanya watumwa toka bara..tukauzwa kwa wazungu haohao wenye majumba ya kutisha Forts pwani yenye milango inayotisha - DOOR OF NO RETURN...tena basi unaweza kuambiwa huyo - Umsolopa (mlinzi wa lango kuu) alikuwa Mmatumbi kama sisi..

Mkuu Mkandara, pamoja na kwamba mara chache tumetofautiana kwa mambo fulani fulani, hapa tuko pamoja sana. Mchango wako kwenye hii topiki imekuwa kama hewa safi ya oxygen iliyopenyezwa ndani ya chumba kilichojaa hewa chafu. Wenye ulewa watakuelewa na waliojifungia ndani ya makabati yao ya udini watabaki humo humo.

Mimi natoka mikoa ya ziwa na wakati tunapata uhuru mwaka 1961 tayari nilikuwa sekondari hivyo naamini ni moja wa wanaojua kwa kiasi fulani hali ilivyokuwa bila kusimuliwa. Miaka hiyo hizo tofauti zetu za kidini hazikuwapo kabisa kwani tulizaliwa, tukakuwa pamoja, tukacheza pamoja na tukasoma pamoja bila ubaguzi wowote ule.

Hii mbegu ya udini imepandikizwa na watu wasiotutakia mema na naweza kudai kuwa ni wachache waliozaliwa kwenye miaka hiyo ambao watakubaliana na GT. Wengi wao watakuwa ni vijana ambao wanayoyajua ni ya kusimuliwa tu na wenye macho ya husuda kwa upendo tuliokuwa nao Watanzania bila ubaguzi wa kidini.

Mwalimu Nyerere, mpende usimpende, atabaki kiongozi aliyetanguliza maslahi ya taifa letu mbele ya kitu chochote kingine kile. Katika maisha yangu sikuwahi kuwa mwana Tanu ama CCM lakini naheshimu mchango wa Mwalimu na shutuma nyingi zinazoelekezwa kwake kama ya kupiga vita Uislamu ni za watu waliotawaliwa na chuki zao binafsi.
 
Jasusi,
samahani kutowaletea source, lakini nimeotoa hiyo makala kwenye internet. sote tunapaswa kununua kitabu kinaitwa " a Modern History of Tanganyika." habari zilizopo kwenye kitabu hicho zingeweza kusaidia sana ktk mada hii.

binafsi naamini harakati zile zilijumuisha wananchi wote na hazikuwa na ubaguzi wa aina yoyote ile. sasa ukianza kutuhumu kwamba Kanisa lilipinga uhuru unakutana na habari kwamba Maryknoll ndiyo waliokuwa wakimhifadhi New York. ukiwatuhumu Wachaga napo unakuta kuna vijana wasomi na Mangi walioiunga mkono Tanu dhidi ya Mangi Mkuu. ukidai watumishi wa serikali walipinga uhuru unakutana na kina Nyerere na Elias Kisenge walioacha kazi za serikali kuitumikia Tanu.

binafsi sidhani kama kuna kundi fulani katika jamii yetu lenye hati miliki ya kuleta uhuru Tanganyika.

Bangusule:

Katika struggles zozote kukiwepo na adui mmoja, watu wanaacha tofauti zao na kutafuta common grounds za kupambana na adui yao.

Umoja tuliopata wakati wa uhuru, ulikuwepo kwa sababu tulikuwa na common enemy (mkoloni).

Kwa kusoma posti nyingi hapa, watu bado wanachukua template iliyotumika kuleta umoja wakati uhuru hili kuwepo na umoja sasa. Haya ni makosa makubwa sana.

Na nchi nyingi za kiAfrika zinafanya makosa haya haya. Mfano mzuri nenda BOT au TRA. Je katika taasisi hizi utakuta reflection ya diversity ya watanzania?
 
Mag3 said:
Mkuu Mkandara, pamoja na kwamba mara chache tumetofautiana kwa mambo fulani fulani, hapa tuko pamoja sana. Mchango wako kwenye hii topiki imekuwa kama hewa safi ya oxygen iliyopenyezwa ndani ya chumba kilichojaa hewa chafu. Wenye ulewa watakuelewa na waliojifungia ndani ya makabati yao ya udini watabaki humo humo.

Mimi natoka mikoa ya ziwa na wakati tunapata uhuru mwaka 1961 tayari nilikuwa sekondari hivyo naamini ni moja wa wanaojua kwa kiasi fulani hali ilivyokuwa bila kusimuliwa. Miaka hiyo hizo tofauti zetu za kidini hazikuwapo kabisa kwani tulizaliwa, tukakuwa pamoja, tukacheza pamoja na tukasoma pamoja bila ubaguzi wowote ule.

Hii mbegu ya udini imepandikizwa na watu wasiotutakia mema na naweza kudai kuwa ni wachache waliozaliwa kwenye miaka hiyo ambao watakubaliana na GT. Wengi wao watakuwa ni vijana ambao wanayoyajua ni ya kusimuliwa tu na wenye macho ya husuda kwa upendo tuliokuwa nao Watanzania bila ubaguzi wa kidini.

Mwalimu Nyerere, mpende usimpende, atabaki kiongozi aliyetanguliza maslahi ya taifa letu mbele ya kitu chochote kingine kile. Katika maisha yangu sikuwahi kuwa mwana Tanu ama CCM lakini naheshimu mchango wa Mwalimu na shutuma nyingi zinazoelekezwa kwake kama ya kupiga vita Uislamu ni za watu waliotawaliwa na chuki zao binafsi.

Mag3,
kwa upande wangu sina matatizo ikiwa wachangiaji au kikundi fulani watajitokeza na kusema kwamba tuiboreshe historia yetu ili michango wa wananchi wengi zaidi iweze kutambuliwa. lakini katika kufanya hivyo tujiepushe na kudharau michango ya wengine ambao tayari inatambulika.

binafsi napenda kujua historia na habari za wananchi toka maeneo mbalimbali ya Tanzania. naamini lipo la kujifunza kutoka ktk kila jamii ya Tanzania. pia siamini kama kuna jamii iliyo bora kushinda jamii nyingine.

Mheshimiwa Mkandara anapenda kutumia maneno WATU na MAZINGIRA, naomba niongeze HISTORIA.
 
Mkuu Mkandara, pamoja na kwamba mara chache tumetofautiana kwa mambo fulani fulani, hapa tuko pamoja sana. Mchango wako kwenye hii topiki imekuwa kama hewa safi ya oxygen iliyopenyezwa ndani ya chumba kilichojaa hewa chafu. Wenye ulewa watakuelewa na waliojifungia ndani ya makabati yao ya udini watabaki humo humo.

Mimi natoka mikoa ya ziwa na wakati tunapata uhuru mwaka 1961 tayari nilikuwa sekondari hivyo naamini ni moja wa wanaojua kwa kiasi fulani hali ilivyokuwa bila kusimuliwa. Miaka hiyo hizo tofauti zetu za kidini hazikuwapo kabisa kwani tulizaliwa, tukakuwa pamoja, tukacheza pamoja na tukasoma pamoja bila ubaguzi wowote ule.

Hii mbegu ya udini imepandikizwa na watu wasiotutakia mema na naweza kudai kuwa ni wachache waliozaliwa kwenye miaka hiyo ambao watakubaliana na GT. Wengi wao watakuwa ni vijana ambao wanayoyajua ni ya kusimuliwa tu na wenye macho ya husuda kwa upendo tuliokuwa nao Watanzania bila ubaguzi wa kidini.

Mwalimu Nyerere, mpende usimpende, atabaki kiongozi aliyetanguliza maslahi ya taifa letu mbele ya kitu chochote kingine kile. Katika maisha yangu sikuwahi kuwa mwana Tanu ama CCM lakini naheshimu mchango wa Mwalimu na shutuma nyingi zinazoelekezwa kwake kama ya kupiga vita Uislamu ni za watu waliotawaliwa na chuki zao binafsi.

Mag3:

Watu kutompenda Nyerere ni kitu cha kawaida. Kuna watu hawampendi Mungu ndio itakuwa Nyerere?

Na vilevile itakuwa makosa kufikiri kuwa kuna watu wasio watakia mema watanzania. Wanaozungumza mambo ambayo unaona sio mema kwa taifa ni watanzania.

Ikifika kipindi mtu anapata kazi kwa juhudi zake na sio vimemo vya kujuana kidini, kikabila, kisiasa basi unaweza kusema kuna watu wasiotakia mema taifa.
 
Zakumi,
you are 100% on the point. labda tuongeze kwamba mahusiano ya mkoloni na msukuma yalikuwa tofauti na mahusiano ya mkoloni na mpare. lakini mkoloni aliendelea kuwa mkoloni--a common enemy.

tatizo ni kwamba inaelekea tunashindwa kuishi pamoja, na badala yake tunatoleana macho, tunakaribia kutiana kabari. we are turning on each other. yaani tunatumia muda mwingi mno kuchukiana, and justifying it, kuliko kutafuta ufumbuzi wa matatizo yetu.

dunia imekuwa so complex kiasi kwamba si rahisi ku-identify a common enemy, kama zama za kupigania uhuru. kwa msingi huo basi sisi Watanzania tujaribu ku-identify COMMON INTERESTS ili tuweze kuishi pamoja.
 
Last edited:
Tusimsahau RAJAB DIWANI

nilishamtaja hukonyuma

halafu umegundua Mkandara ana mambo ya kizungu eeh?

ndio wale wale sie tunawaita kefeteria...starbucks kwa sanaa..mkisema mnaambiwa ohhhnyie mbona mmekuwa wadini sana?
 
GameTheory,
Mkuu hivi kweli nakushinda ktk mchezo wako mwenyewe - A Game theory! haaa haaa haaa1 nafurahi kwa sana tu..leo nitalala vizuri.

Ahh maswala ya Starbucks kwa sana tu kama ulikuwepo mkuu wangu sijipangi hata siku moja Coffeetimes! Lakini ukinipa kikombe cha gahawa naweza pia kuondoka nacho tena nitaulizia kashata ziko wapi?..Hii ndiyo dunia nayoishi mimi..Sasa ngoja nikwambie toka huku kwa wazungu.. wao wanaamini kabisa kwamba mtu mweusi siku zote mvalishe adui..atashindwa kufikiria nje ya adui hata kama unamtia kidole cha macho (kiuchumi). Ni imani yangu kwamba Tanzania baada ya kuingia Ubepori tumezushiwa adui na kila siku macho yetu tunatazama nje ya nguo zetu wenyewe kumbe kunguni wameganda..mfumo mzima wa Globalization ni pamoja na kuzua maadui baina ya wazalishaji (watu weusi)..

Sasa mimi kwa kuelewa hivyo sina haja ya kuanza hadithi ndefu ila nawapa hoja ambazo utajitazama wewe mwenyewe mikunjo ya uso ilivyotujaa kama umeshika kioo vile...
Mkuu harakati za Uhuru nchi zote za kusini mwa jangwa almost mataifa 40 ya Afrika yalianzishwa na waislaam kwa sababu hizo nchi zilikuwa zikitawaliwa na wazungu ambao walikuwa Wakristu. Hivyo sii kazi rahisi kwa mristu kufikiria kumwondoa mtu ambaye alikwisha mbrain wash kwa kutumia dini. Kilichotuamsha sote ni Uhuru wa Ghana.. Nkurumah ndiye alikuwa kiamsho cha harakati nyingi za Uhuru na kama sikosei alikuwa Kristu.. Sasa tazama Uhuru wa Zanzibar, tulichukua Uhuru tukamrudisha Sultan sisi wenyewe tena tukaweka Mkataba Kenya ukahudhuriwa na Mzee Jomo Kenyatta. WHY?..kumrudisha Sultan ambaye lengo la Uhuru lilikuwa kumwondoa..Jaza mwenyewe..Hivyo walivyoshindwa waislaam kuwa against Sultan walikuwepo pia waislaam waliopingana na Sultan. Na kwa Wakristu vile vile ilikuwa pande mbili zikivutana pamoja na kwamba tulitawaliwa wapo wengi sana tu walikuwa upande wa Mkoloni.

Hata hivyo nashukuru sana kwa michango yako.. Mkuu nakukubali unayajua mengi kiasi kwamba ungeweza kuandika kitabu lakini ili kipate soko ondoa hizo habari za Waislaam/Wakristu.. hatuna historia hiyo zaidi ya kwamba wote wazungu na waarabu walituweka Utumwani wakitumia jina la dini..Na waliopingana na nguvu za hawa watu walitumia Uzalendo nje ya kabati la udini kuweza kuona maovu ya mkoloni...

Mag3,
Mkuu wangu ama kweli mwenzangu umekula chunvi yaani tunapata Uhuru wewe ulikuwa sekondary!.. Yes, nimekukubali...

Bangusule,
Mkuu hiyo historia ya Kilimanjaro, mbona imekaa kama maswala ya Uchief vile!..kumbuka tu kwamba mkoloni aliwatumia Macheif kwa sana tu kuendesha serikali yake hivyo kila mkoa walikuwa na machief wenye utawala ktk kanda zao wakijibu kwa mkoloni. Hivyo harakati zao hazikuwa za kujikomboa zaidi ya kudumisha koloni zao chini ya Malkia. Hata sisi Ukerewe tulikuwa naye Ruhumbika ambaye tunamkumbuka kwa mengi ktk hisotira ya Wakerewe..lakini bado alitumiwa na mkoloni akidhani yeye mtawala kumbe katawaliwa...
Ndivyo utawala wa malkia ulivyokuwa ukifanya kazi akitumia mfumo wa Julius Kaizari ambaye alitawala akitumia sana watu wa huko huko. Kikubwa aliweka mwakilishi wake na kushika wizara nyeti za Utawala.
 
Last edited:
Jasusi,
samahani kutowaletea source, lakini nimeotoa hiyo makala kwenye internet. sote tunapaswa kununua kitabu kinaitwa " a Modern History of Tanganyika." habari zilizopo kwenye kitabu hicho zingeweza kusaidia sana ktk mada hii.

binafsi naamini harakati zile zilijumuisha wananchi wote na hazikuwa na ubaguzi wa aina yoyote ile. sasa ukianza kutuhumu kwamba Kanisa lilipinga uhuru unakutana na habari kwamba Maryknoll ndiyo waliokuwa wakimhifadhi New York. ukiwatuhumu Wachaga napo unakuta kuna vijana wasomi na Mangi walioiunga mkono Tanu dhidi ya Mangi Mkuu. ukidai watumishi wa serikali walipinga uhuru unakutana na kina Nyerere na Elias Kisenge walioacha kazi za serikali kuitumikia Tanu.

binafsi sidhani kama kuna kundi fulani katika jamii yetu lenye hati miliki ya kuleta uhuru Tanganyika.
Bangusule naomba unieleza kuhusu huyu mzee Elias Kisenge, maana wazazi wangu walinieleza ndio wakoloni au kitu kama hicho ilikuwa akabidhiwe nchi au kushinda uchaguzi.kisa alikuwa Mu-Anglikana, sasa kwa kuwa sijui vizuri historia ya huyu Mzee naomba samahani, maana nia yangu ni kutaka kujua na si kumkashifu, na inawezekana ana historia nzuri tu, sema mimi sikuipata vizuri.
 
GameTheory,
Mkuu hivi kweli nakushinda ktk mchezo wako mwenyewe - A Game theory! haaa haaa haaa1 nafurahi kwa sana tu..leo nitalala vizuri.

Ahh maswala ya Starbucks kwa sana tu kama ulikuwepo mkuu wangu sijipangi hata siku moja Coffeetimes! Lakini ukinipa kikombe cha gahawa naweza pia kuondoka nacho tena nitaulizia kashata ziko wapi?..Hii ndiyo dunia nayoishi mimi..Sasa ngoja nikwambie toka huku kwa wazungu.. wao wanaamini kabisa kwamba mtu mweusi siku zote mvalishe adui..atashindwa kufikiria nje ya adui hata kama unamtia kidole cha macho (kiuchumi). Ni imani yangu kwamba Tanzania baada ya kuingia Ubepori tumezushiwa adui na kila siku macho yetu tunatazama nje ya nguo zetu wenyewe kumbe kunguni wameganda..mfumo mzima wa Globalization ni pamoja na kuzua maadui baina ya wazalishaji (watu weusi)..

Sasa mimi kwa kuelewa hivyo sina haja ya kuanza hadithi ndefu ila nawapa hoja ambazo utajitazama wewe mwenyewe mikunjo ya uso ilivyotujaa kama umeshika kioo vile...
Mkuu harakati za Uhuru nchi zote za kusini mwa jangwa almost mataifa 40 ya Afrika yalianzishwa na waislaam kwa sababu hizo nchi zilikuwa zikitawaliwa na wazungu ambao walikuwa Wakristu. Hivyo sii kazi rahisi kwa mristu kufikiria kumwondoa mtu ambaye alikwisha mbrain wash kwa kutumia dini. Kilichotuamsha sote ni Uhuru wa Ghana.. Nkurumah ndiye alikuwa kiamsho cha harakati nyingi za Uhuru na kama sikosei alikuwa Kristu.. Sasa tazama Uhuru wa Zanzibar, tulichukua Uhuru tukamrudisha Sultan sisi wenyewe tena tukaweka Mkataba Kenya ukahudhuriwa na Mzee Jomo Kenyatta. WHY?..kumrudisha Sultan ambaye lengo la Uhuru lilikuwa kumwondoa..Jaza mwenyewe..Hivyo walivyoshindwa waislaam kuwa against Sultan walikuwepo pia waislaam waliopingana na Sultan. Na kwa Wakristu vile vile ilikuwa pande mbili zikivutana pamoja na kwamba tulitawaliwa wapo wengi sana tu walikuwa upande wa Mkoloni.

Hata hivyo nashukuru sana kwa michango yako.. Mkuu nakukubali unayajua mengi kiasi kwamba ungeweza kuandika kitabu lakini ili kipate soko ondoa hizo habari za Waislaam/Wakristu.. hatuna historia hiyo zaidi ya kwamba wote wazungu na waarabu walituweka Utumwani wakitumia jina la dini..Na waliopingana na nguvu za hawa watu walitumia Uzalendo nje ya kabati la udini kuweza kuona maovu ya mkoloni...

Mag3,
Mkuu wangu ama kweli mwenzangu umekula chunvi yaani tunapata Uhuru wewe ulikuwa sekondary!.. Yes, nimekukubali...

Bangusule,
Mkuu hiyo historia ya Kilimanjaro, mbona imekaa kama maswala ya Uchief vile!..kumbuka tu kwamba mkoloni aliwatumia Macheif kwa sana tu kuendesha serikali yake hivyo kila mkoa walikuwa na machief wenye utawala ktk kanda zao wakijibu kwa mkoloni. Hivyo harakati zao hazikuwa za kujikomboa zaidi ya kudumisha koloni zao chini ya Malkia. Hata sisi Ukerewe tulikuwa naye Ruhumbika ambaye tunamkumbuka kwa mengi ktk hisotira ya Wakerewe..lakini bado alitumiwa na mkoloni akidhani yeye mtawala kumbe katawaliwa...
Ndivyo utawala wa malkia ulivyokuwa ukifanya kazi akitumia mfumo wa Julius Kaizari ambaye alitawala akitumia sana watu wa huko huko. Kikubwa aliweka mwakilishi wake na kushika wizara nyeti za Utawala.

Mkandara:

Napenda kupingana na wewe sana kuhusu kuwa Kwame Nkrumah ndiye aliyetuamsha. Kusema hivyo kunarudisha historia ya waAfrica nyuma.

ANC ya Africa kusini ilianza 1912 wakati huo Kwame alikuwa na miaka 3 tu.

Vilevile haya masuala ya uhuru tusijivunie sana kwa sababu baada ya vita vya pili vya dunia nchi nyingi za kiAfrika zilikuwa katika fast track za kupewa uhuru kama makubaliano ya super power wa vita vya pili vya dunia walivyokubaliana.

Na ndio maana nchi zingine kama Tanzania zimepewa uhuru bila maandalizi yoyote na matokeo yake ni kuwa na mediocre kila sehemu za kazi.
 
Zakumi,
you are 100% on the point. labda tuongeze kwamba mahusiano ya mkoloni na msukuma yalikuwa tofauti na mahusiano ya mkoloni na mpare. lakini mkoloni aliendelea kuwa mkoloni--a common enemy.

tatizo ni kwamba inaelekea tunashindwa kuishi pamoja, na badala yake tunatoleana macho, tunakaribia kutiana kabari. we are turning on each other. yaani tunatumia muda mwingi mno kuchukiana, and justifying it, kuliko kutafuta ufumbuzi wa matatizo yetu.

dunia imekuwa so complex kiasi kwamba si rahisi ku-identify a common enemy, kama zama za kupigania uhuru. kwa msingi huo basi sisi Watanzania tujaribu ku-identify COMMON INTERESTS ili tuweze kuishi pamoja.

Bangusule:

Hii paragraph yako ya mwisho inafanya summary ya yote. Kuna watu hawa wana nostlagia ya mtu kama Nyerere au Kagame apatikane. Wengine wanataka Ujamaa au Azimio la Arusha tena. Lakini bila kuwa na Common interests hakuna kitu kitachowezekana.

Mtu anaiba mali za taifa halafu kwao anapigiwa maandamano ya nguvu, si ujinga mtupu huu.
 
Mkandara said:
Bangusule,
Mkuu hiyo historia ya Kilimanjaro, mbona imekaa kama maswala ya Uchief vile!..kumbuka tu kwamba mkoloni aliwatumia Macheif kwa sana tu kuendesha serikali yake hivyo kila mkoa walikuwa na machief wenye utawala ktk kanda zao wakijibu kwa mkoloni. Hivyo harakati zao hazikuwa za kujikomboa zaidi ya kudumisha koloni zao chini ya Malkia. Hata sisi Ukerewe tulikuwa naye Ruhumbika ambaye tunamkumbuka kwa mengi ktk hisotira ya Wakerewe..lakini bado alitumiwa na mkoloni akidhani yeye mtawala kumbe katawaliwa...
Ndivyo utawala wa malkia ulivyokuwa ukifanya kazi akitumia mfumo wa Julius Kaizari ambaye alitawala akitumia sana watu wa huko huko. Kikubwa aliweka mwakilishi wake na kushika wizara nyeti za Utawala.

Mkandara,
nimeeleza kule mwanzo kwamba binafsi Uchifu siukubali. kama ulivyoeleza Machifu walikuwa sehemu ya utawala wa mkoloni. pamoja na mapungufu yao, Machifu wa wilaya ya Pare waliweza kuhamasisha na kuandikisha 90% ya watoto shule ya msingi. leo hii ni miaka 40++ tangu tupate Uhuru kuna watendaji wasomi zaidi ya Machifu wale lakini wanashindwa kusimamia maendeleo. that was my point.

kati ya Machifu wale walikuwepo Waislamu, Wakristo, na Wapagani. sasa nilitegemea wengine hapa wataelewa somo na kuacha zile blanket statement kwamba kila "Mkristo" aliunga mkono ukoloni, na kila "Muislamu" aliupinga, halafu kila "Mpagani" alikuwa hana analolijua akitembea uchi wa mnyama.

zaidi nilikumbusha historia ya wananchi kugomea kodi ya Mbiru. viongozi wa mgomo ule walikuwa watu wa madhehebu mbalimbali, lakini waliokuwa na mwamko, na elimu ya kiwango fulani kulingana na mazingira ya wakati ule. viongozi wengi wa mgomo ule walikuwa wamesoma ktk shule za mishen.

mkoloni alianzisha kodi ya Mbiru kwasababu wananchi walikuwa wakidai maendeleo zaidi kutokana na kodi zao. tena wananchi haohao walikuwa wako tayari kuchangia kodi zaidi. tatizo lililojitokeza ni mkoloni akitumia Machifu kuanza kukusanya kodi kwa utaratibu ambao wananchi walikuwa hawakubaliani nao. zaidi mkoloni alishindwa kupeleka maendeleo pamoja na ukweli kwamba alikuwa akitoza kodi zaidi.

mgomo wa Mbiru pamoja na mambo mengine ulikuwa ni mgomo dhidi ya Machifu walioshindwa kusimamia haki za wananchi wao. si kwamba wananchi waliishia kwenda Same makao makuu ya wilaya, kuna juhudi nyingine walikuwa wanafanya ikiwa ni pamoja na kufungua kesi dhidi ya serikali ya mkoloni. huwezi kuamini lakini wananchi wale mwaka 1944 walihangaika mpaka Kenya, Moshi,Tanga,na Dar-Es-Salaam kutafuta msaada wa kisheria.

kwa mtizamo wangu naamini kwamba kama mkoloni asingesalimu amri na kufuta kodi ya Mbiru, damu ingeweza kumwagika maeneo ya Upare. pamoja na kufutwa kwa kodi hiyo bado wananchi waliendelea kuwa na matatizo na utawala wa mkoloni na zaidi walikosa imani na uwezo wa Machifu ktk kuwaongoza. matokeo yake ni kuanzishwa kwa chama kilichoitwa Wapare Union.

Wapare Union iliundwa na vijana na wasomi wa wilaya ya Pare. sasa ieleweke kwamba wasomi wengi wa wakati huo walisomea shule za mishen. wanachama wa Wapare Union ndiyo waliokuja kuwa wanachama wa mwanzo wa TAA na baadaye TANU.

binafsi naamini Watanganyika ktk maeneo mbalimbali walishamchoka mkoloni, na walichokuwa wakihitaji ni njia ya uhakika ya kumuondoa. vilevile naamini dhana ya UHURU ilikuwa ni tofauti baina ya maeneo mbalimbali ya Tanganyika.

natumaini kwamba maelezo yangu marefu yatabainisha kwamba TANU iliunganisha watu wengi au vyama vingi, mfano vyama vya wafanyakazi, ushirika, na hata kikabila.

kama wazee wetu waliweza KUHESHIMIANA na kuwa na UMOJA wa KITAIFA kwanini kizazi cha leo tunafarakana kiasi hiki? vijana wa miaka ile waliona fahari kuongozwa na maslahi ya kitaifa, kwanini vijana wa leo tunakosa muelekeo?

August,
naamini nafasi za juu kabisa alizopata kushika Elias Kisenge ni Ukatibu Mwenezi wa Tanu na Naibu Waziri. nitajaribu kutafuta habari zake ni kuziweka hapa. nafikiri alishindwa ktk uchaguzi na Chediel Mgonja "kaghembe" kwa hivyo uzito wake kupungua ktk siasa za Kilimanjaro.
 
Last edited:
Bangusule naomba unieleza kuhusu huyu mzee Elias Kisenge, maana wazazi wangu walinieleza ndio wakoloni au kitu kama hicho ilikuwa akabidhiwe nchi au kushinda uchaguzi.kisa alikuwa Mu-Anglikana, sasa kwa kuwa sijui vizuri historia ya huyu Mzee naomba samahani, maana nia yangu ni kutaka kujua na si kumkashifu, na inawezekana ana historia nzuri tu, sema mimi sikuipata vizuri.

Elias Kisenge gonga hapa
 
Back
Top Bottom