Watu na bahati zao

Kwani Bitcoin ndo nini?
Na ukishazinunua zinafanyaje?🤔🤔
 
Matatizo ya ku copy uzi ndio kama haya..
Unaanza vzr baadae upepo unakata
 
Ipo siku watu watajilaumu sana kwann hawakuwekeza kwenye hili soko, back in 2010s ilikua ni risk kubwa lakini kwasasa si risk tena, makumpuni makubwa kama Tesla yamewekeza hadi 1.5$ worth of bitcoin. Hatujachelewa, nunua hata satoshi zitakupa heshima mbeleni. Hiyo ni guarantee.
 
Leo price ya TRON,ADA,na EOS haifiki haya usd 10,kila moja in the next 5 years watu watajilaumu kwa nini hawakuwekeza hata USD 10,kwenye hizo coin...ni tabia ya binadamu kutopenda kua tajiri kidogo kidogo,ye anataka awe tajiri wa haraka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…