Said S Yande
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 879
- 652
Jane hapigi atapata faidaUtapigwa hadi utajuta kuzaliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jane hapigi atapata faidaUtapigwa hadi utajuta kuzaliwa
Yaan ww ni very local pplUtapigwa hadi utajuta kuzaliwa
Ntapigwaje kwa mfano?Utapigwa hadi utajuta kuzaliwa
Utapigwa hadi utajuta kuzaliwa
Leo price ya TRON,ADA,na EOS haifiki haya usd 10,kila moja in the next 5 years watu watajilaumu kwa nini hawakuwekeza hata USD 10,kwenye hizo coin...ni tabia ya binadamu kutopenda kua tajiri kidogo kidogo,ye anataka awe tajiri wa haraka tu.Ipo siku watu watajilaumu sana kwann hawakuwekeza kwenye hili soko, back in 2010s ilikua ni risk kubwa lakini kwasasa si risk tena, makumpuni makubwa kama Tesla yamewekeza hadi 1.5$ worth of bitcoin. Hatujachelewa, nunua hata satoshi zitakupa heshima mbeleni. Hiyo ni guarantee.