Watu nane wafa kwenye maandamano karibu na ubalozi wa Marekani kule Pakistan

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Hawa wahindi walijiingiza kwenye dini ya muaabu hadi akili zikawahama, sasa wanaandamana na kufia karibu na ubalozi wa Marekani kisa vita ambavyo vipo mbali sana na wao, utakuta hapo hamna hata amewahi kutoka nje ya nchi.
Nasubiri nione wa huku uswahilini na wao wakiliamsha.

===================

At least eight people were killed and several were injured in riots near the US Consulate in Karachi, Pakistan, the Edhi rescue service confirmed to AFP on Sunday.

Police used force to disperse crowds after protesters tried to storm the diplomatic mission following the United States and Israeli attack on Iran and the killing of Iran's Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei.

Security forces blocked access to the area and urged residents to avoid the neighborhood.
 
Kuna watu wanapenda kufa.
Inashangaza.
 
Ni ujinga mtupu, wanafia deni la mtu baki asiyewahusu. Bure kabisa.
 
Hawa wahindi walijiingiza kwenye dini ya muaabu hadi akili zikawahama, sasa wanaandamana na kufia karibu na ubalozi wa Marekani kisa vita ambavyo vipo mbali sana na wao, utakuta hapo hamna hata amewahi kutoka nje ya nchi.
Nasubiri nione makobaz wa huku uswahilini na wao wakiliamsha.
Hao ni wahuni,
Wairan wenyewe wanaandamana kumuunga mkono Trump na mwenzie Netanyahu kwa kuwakomboa kutoka mikononi mwa dikteta muuaji afu wahuni wa Pakistan huko wanapinga?

View: https://youtube.com/shorts/4FxWbMbz5LQ?si=dxtsRNJkQTe7Eijv
 
Hii dini inawafanya wamekuwa kama mazombie.
Wahindi kawaida wana akili sana ila wakishakuwa Waislam tu akili zinahama.
 
Back
Top Bottom