Thanks madam,I appreciate.
Nashukuru sana kaka Jambazi ,nadhani ujambazi wako ni wa kalamu sio nguvu ndio maana michango yako humu inavutiaGENTAMYCINE . Galadudu , Kaboom , UncleBen , Nyani Ngabu , miss chaga , Nifah , Preta , lara 1 my fav , Copenhagen , mshana jr Watajwa hapo juu ni baadhi tu,ia
huwa wana majibu
yaonyaliyotukuka, hunisaidia sana
katika swala la kuhimili hasira
(anger management).... Ht
nikinuna dar mpaka Lusaka,huwa nafurahishwa na comments za
humu ndani.
Naomba kuwasilisha. Report Like Reply
mtzmweusi - Today at 4:54 AM
Yani mi sipo lol hata mwekundu
The Boss etc Report Like Reply
kanali mstaafu - Today at 5:07 AM Mi nampendaga Nifah Report Like Reply
Patience123 - Today at 5:09 AM
Mimi nikikutana na majibu ya Evelyn Salt, UncleBen na msem basi siku yangu huwa njema.
Ila uchunge sana shetani asije akawapitia,maana amekuzoea kama kakaako vileKwa hiyo mkuu unataka tuonane wapi ili tufahamiane hata kdg
I'm humbled u knowHusika na kichwa cha habarini hapo juu.
Nikiwa memba wa JF tangu 2012 lakini kwasababu zisizoelezeka nikapoteza nywila ya kitambulisho changu cha awali,ikabidi tena nijisajili mwaka 2015, sasa basi kuna wanajamii ya humu natamani sana kuwaona wakizungumza tu ili nifurahi.
GENTAMYCINE.
Galadudu,
Kaboom,
Uncle Ben,
Nyani Ngabu,
misschaga,
Nifah,
Preta,
lara 1 my fav ,
Copenhagen,
mshana jr
Watajwa hapo juu ni baadhi tu, huwa wana majibu yaliyotukuka, hunisaidia sana katika swala la kuhimili hasira (anger management).Hata nikinuna Dar mpaka Lusaka,huwa nafurahishwa na comments za humu ndani.
Naomba kuwasilisha.
[emoji8] [emoji120]
Kwa hiyo mbege itakuwepo hapo coco beach hiyo tar 28!Popote pale mkuu panapopatikana mbege mji huu....tar 28 utakuepo Coco Beach?mi ntakuepo
Shetani atupitie kwenda wapiIla uchunge sana shetani asije akawapitia,maana amekuzoea kama kakaako vile
Jamaa kwa fix uko juu kuliko K 4 LIFE.Akhsante Mkuu Kwa Kuonyesha Nia Kuwa Unatamani Unifahamu au Unijue Kwani Nilikuwa Sijajua Kama Nina Umuhimu Huo Kwako au Kwa Wengine. Karibu Sana Kwangu Mkoani GISENYI Nchini Rwanda Uje Kunywa Maziwa Na Asali. Nisalimie Mno Huko Kwenu Tanzania Na Sijui Ni Lini Nitakuja Tena Baada Ya Kutoka Huko Miaka 11 Iliyopita!
Hata mmoja hakuna[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Hakuna hata KAPUKU mmoja
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
It is easy....tuwe tunatajana wenyewe km hiviHata mmoja hakuna[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Maana hakuna namnaIt is easy....tuwe tunatajana wenyewe km hivi
TOP 10 makapuku tishio JF
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu povu huwatoka tukitajanaMaana hakuna namna
Husika na kichwa cha habarini hapo juu.
Nikiwa memba wa JF tangu 2012 lakini kwasababu zisizoelezeka nikapoteza nywila ya kitambulisho changu cha awali,ikabidi tena nijisajili mwaka 2015, sasa basi kuna wanajamii ya humu natamani sana kuwaona wakizungumza tu ili nifurahi.
GENTAMYCINE.
Galadudu,
Kaboom,
Uncle Ben,
Nyani Ngabu,
misschaga,
Nifah,
Preta,
lara 1 my fav ,
Copenhagen,
mshana jr
Watajwa hapo juu ni baadhi tu, huwa wana majibu yaliyotukuka, hunisaidia sana katika swala la kuhimili hasira (anger management).Hata nikinuna Dar mpaka Lusaka,huwa nafurahishwa na comments za humu ndani.
Naomba kuwasilisha.
[emoji8] [emoji120]