Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] just relaxHakuna hata KAPUKU mmoja
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
Nimefika tayari
Aiseee Nahrene nashukuru sana ,sina namna ya kuelezea furaha yangu ,niliambiwa na bibi yangu marehemu the least i can do is to put a smile on someone's faceNyani Ngabu
Kaboom
Nifah
UncleBen
Lara 1
Paulo Sergio de Souz
Heaven Sent
Hawa watu hufanya siku yangu iende poa.
mkuu umesahau na ile ya "La brujita"Ongeza na ile ya barbarosa.
Wachaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2]Ongeza na ile ya barbarosa.
mkuu umesahau na ile ya "La brujita"
Pamoja Sana Nifah,Uwiiiiii jamani jamani....
Asanteni kwa mapendo,nami nawapenda pia.
Nimetoa ruksa,shusha huo uchambuzi pls!Evelyn salt
Nifah (old fav)
GENTAMYCINE (New fav)
Hawa watu huwa nazitafuta post zao kwa nguvu zote! Ila nina sababu, kwa ruhusa yao naweza nikashusha uchambuzi🙄
Oh dear, thank you.Nyani Ngabu
Kaboom
Nifah
UncleBen
Lara 1
Paulo Sergio de Souz
Heaven Sent
Hawa watu hufanya siku yangu iende poa.
Evelyn salt
Nifah (old fav)
GENTAMYCINE (New fav)
Hawa watu huwa nazitafuta post zao kwa nguvu zote! Ila nina sababu, kwa ruhusa yao naweza nikashusha uchambuzi🙄
Mkuu inabidi urudi tujenge nchi yetu... Bado twakuhitaji sana.Akhsante Mkuu Kwa Kuonyesha Nia Kuwa Unatamani Unifahamu au Unijue Kwani Nilikuwa Sijajua Kama Nina Umuhimu Huo Kwako au Kwa Wengine. Karibu Sana Kwangu Mkoani GISENYI Nchini Rwanda Uje Kunywa Maziwa Na Asali. Nisalimie Mno Huko Kwenu Tanzania Na Sijui Ni Lini Nitakuja Tena Baada Ya Kutoka Huko Miaka 11 Iliyopita!
Si amesema ni mtutsi, huku kwetu Tanzania hatuna kabila la watutsi.Mkuu inabidi urudi tujenge nchi yetu... Bado twakuhitaji sana.
Oh dear, thank you.
Nitajitahidi niendelee kung'arisha siku yako.
Mkuu inabidi urudi tujenge nchi yetu... Bado twakuhitaji sana.