ramadhan Mwesongo
Member
- Mar 23, 2017
- 56
- 24
Mwaka ujao utakuwa na miezi 11, kutokana na malalamiko ya wananchi kuhusu mwez huo kuwa hauna mtonyo hivyo sirikali imefuta mwezi january. Hivyo utaanza na mwez feb [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]