Watu pekee ambao huwa nasikiliza hotuba zao kwaajili ya kujifunza maneno ya hekima yenye kuleta furaha na amani

Ninaheshimu mawazo yako lakini kuna mtu kwenye hiyo list yako,nakushauri bora umsikilize sana mumeo/mkeo kuliko huyo!
 
Wewe hauko sawa kichwa. Huyu magufuli aliyejaa roho mbaya, mshenzi na hasiyekuwa na hekima hata moja unamfananisha na Obama kweli???

Huyu huyu ambaye anasema " Sileti maendeleo kwasababu munachagua chama tofaiti na ccm"
 
ndiyoo
 
Hata unitukane Magufuli for life, ww utakua uliwahi kuwa fisadi
 
Proffesor Patrick Lochi Otieno Lumumba.. hutajuta kumsikiliza, japo kuna wakati ana vocabularies ngumu,.. amewahi kutoa speech udsm watu wanaiita "the magulification of Africa". . unaweza kuichek youtube pia
 
Mmmmh nina wasiwasi kidogo na Mh Magufuli, Magufuli kabla hajahutubia, hotuba yake unaweza kuitabiri kwa 80% yaani ukajua kile anachoenda kuongea kwa asilimia kubwa kabla hajaanza kuongea. Huu ndo ukweli wa moyo wangu juu ya hotuba za mheshimiwa Rais Magufuli. Kwa upande wangu anakuwa ameshakosa sifa za kuwa na hotuba nzuri.
 
Sasa katika watu siwasikilizagi na naona ni mzigo nchi hii ni huyo mgombea,huyu huwa ni muigizaji na mkurupukaji na hajuagi njia ya kutatua jambo
 
Kama huyo Mgombea ndio kwako ana hekima, basi umekwisha up stairs
Mbowe kwako ndio mwenye hekima?. Utakuwa utopolo wa kutupa. Kuna viongozi wa Chadema, hata inzi hawawezi kuwafuata sembuse watu. Thubutu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…