ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 150
- 173
WATU PORI - NAFSI YA MTU.
Watu pori a.k.a washamba a.k.a washamba a.k.a washamba /nyani wapya msitu wa zamani beat mjerumani mambo yote kwa Bonnie/
Sikiliza haya ninayo kueleza leo na kesho usije kuyapuuza / kwenye mizizi ya Dhambi wivu ndio Unaongoza / kwa upande wa Mema upendo ndio wa kwanza/
Tena kabla ya kutenda nakuomba ufikiri kwanza/ kwani ukienda papara utakuja kuteleza / na kuaza kui laumu nafsi baada ya kuumiza / na ukaja kufeli ulilopanga kutimiza/ kama Sanaa ni Sanaa " ni Sanaa" we fanya kweli sasa wacha kushangaa/ kama uja kubalika usianze kuleta visa uzindi kuwajibika/ na uachake kabisa..!! We ........ kushoto usiloliweza lione ka Gari la moto/ Mc kaa tayari kupokea changamoto/ ni Mc koba napenda mabadiriko/ Daruni nishatazama 🎤 mic kasema "sio lazima wote tuimbe" shtuka wacha uzembe/ mkulima shika jembe..!! / ulimwengu wa leo mi nakushangaa unaongopa "ukwimwi" huku una angaika Aaah/ ..
Unachekesha una amini Wazungu wakati Mungu unakataa Eeeh / Ewe mwana Elimu shika pen ujinga Sumu / uliza waliochezea hiyo nafasi ya muhimu / walichokipata nini..? Zaidi ya kusota na kuzuga mitaani Eeeh/...
Sogea karibu nikuambie Eeeh/
Nitakayonena uyasikie Eeeh/
Watu wananishangaza mie Eeh/
Na ...... hasieleweki eeeh/
Mkanye mjinga akuchukie Eeh/
Mipango yako hakuharibie Eeh/
Na .......inani chosha mie Eeeh/
Eeeh eeeh eeh...!!
( Verse & chorus by Mc koba ngoma inaitwa " Nafsi ya mtu" by watu pori")
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202
Sehemu nilipoweka ...................ni sehemu ambayo sija elewa vyema maneno aliyo ya Tamka msanii " Mc koba "
#funguka. .