Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Vijana kuweni makini si kila anakwambia kuna kazi unaenda, wengi ni matapeli sanaaa!
============
Watu saba wamenaswa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za kuwatapeli zaidi ya vijana 80 kutoka katika maeneo mbalimbali nchini wakiwaahidi kuwasaidia kupata ajira.
Watu hao wanadaiwa kuwa wamejikusanyia zaidi ya Sh. Milioni 80.5 kutoka kwa vijana hao wakiwaahidi kuwasaidia kupata ajira kwenye Kampuni maarufu ya Q NET na Global Alliance.
Akizungumza na wandishi wa habari, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Benjamin Kuzaga amewataja watuhumiwa hao ni William Hamis mkazi wa Mwambene, Tyson Lubida mkazi wa Shewa na Onesmo Hildepbonce mkazi wa Isyesye jijini Mbeya.