Watu sahihi kwenye mapenzi nao wana akili wakati wa kuja wana kuja na wakati wa kuondoka ukifika wanaondoka pia

Watu sahihi kwenye mapenzi nao wana akili wakati wa kuja wana kuja na wakati wa kuondoka ukifika wanaondoka pia

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Salaam JF

Maisha ni raha sana kwenye mapenzi kuna watu wanakuja ili kuwa na wewe, na pia kuna watu wanakuja ili wawe na wewe maisha mwako na kuyajenga maisha na wewe. Na kuna wenye vybez wanaopita kama mwewe. Uhuru ni wako na Akili ni yako pia.

Chagua wewe wakati hausubiri ila akili pungufu hubaki na madhanio na ingalikuwa kama nadharia wanazobaki nazo.

Hata kuimba pia ni aina ya kuongea tuwe makini.

Wadiz na wkend ya kimapenzi zaidi.

Siwazi sana kuhusu Simba SC kwa maana Horoya ni Horoya ya kikazi zaidi wakiwa kwao.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Back
Top Bottom