Watu Tisa wafariki dunia, 44 wajeruhiwa ajali ya basi na lori Morogoro

Madereva wa ma bus wanazinguaga sana, overtaking bila tahadhari, muda wote wanaharaka
 
Reactions: Tui
Kafara za wanasiasa zimeanza
 
Kuna nchi ina magari mengi mara tatu ya yaliyopo Tanzania halafu Tanzania kuna ajali za magari nyingi mara tatu ya ajali zinazotokea nchi hiyo.

Ni nchi moja ya Scandinavia.
 
Ajali zipo ila sio sana,hawazitangazi ili uwaone wapo safi kila idara

Wazungu siku zote wanapambania kujenga taswira yao ionekane ni nzuri
Acha unafiki hizo vitu hazipo kiivyo coz wapo vizuri tembea uone wewe sio kulopoka USA wapo vizuri kila idara wanaumakini sana sema ndege ajari zipo ila ni moja kwa miaka mitatu
 
Acha unafiki hizo vitu hazipo kiivyo coz wapo vizuri tembea uone wewe sio kulopoka USA wapo vizuri kila idara wanaumakini sana sema ndege ajari zipo ila ni moja kwa miaka mitatu
Wewe ndio msemaji wao?
 
Madereva wa mabasi ya abiria, iwe ya kutoka nje ya mkoa au ya ndani ya mkoa, tofauti yao na bodaboda ni ndogo sana.

Wengi wao wanazingatia sheria kama kuna askari tu, vingenevyo wanaliamsha dude balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…