Watu tulio single tunavaa nguo za rangi gani Siku za Valentini?

Watu tulio single tunavaa nguo za rangi gani Siku za Valentini?

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
2,204
Reaction score
2,085
Wakuu mambo, Mpo poa.

Sasa wajumbe nipo hapa najipanga kwaajili ya valentine day kesho jinsi nitavyo toka huko kitaa. Sasa napata kizungumkuti kuhusu rangi ya nguo ya kuvaa kesho kwa sisi tulio single.

Hivi ni rangi gani ya nguo inafaa kuvaliwa kwa sisi tulio single.
 
Kwa wapenzi wa soka nadhani ratiba ya mechi tunazifahamu siku hiyo.
 
Mimi ntavaa masulupweta yangu bila shida😆
 
images (7).jpeg
images (6).jpeg
 
Wakuu mambo, Mpo poa.

Sasa wajumbe nipo hapa najipanga kwaajili ya valentine day kesho jinsi nitavyo toka huko kitaa. Sasa napata kizungumkuti kuhusu rangi ya nguo ya kuvaa kesho kwa sisi tulio single.

Hivi ni rangi gani ya nguo inafaa kuvaliwa kwa sisi tulio single.
Ukipata huko dera wee piga tuu hamna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Blue yenye uelekeo wa kijivu, ambayo ni red yenye green kwa mbali.
 
Back
Top Bottom