EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Ukipata huko dera wee piga tuu hamna namnaWakuu mambo, Mpo poa.
Sasa wajumbe nipo hapa najipanga kwaajili ya valentine day kesho jinsi nitavyo toka huko kitaa. Sasa napata kizungumkuti kuhusu rangi ya nguo ya kuvaa kesho kwa sisi tulio single.
Hivi ni rangi gani ya nguo inafaa kuvaliwa kwa sisi tulio single.