Watu tumekuwa wakatili zaidi ya wanyama aisee

Kusini pride

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,762
Reaction score
4,079
๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟMZEE BABA๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ

Nimekuja kwenu Watanzania kuongea yaliyo moyoni kwangu........

Baada ya uchunguzi wa kutosha na ushahidi upo.....

......MABAHARIA WANASEMA USITOE SIRI YA JANDONI SASA MIMI NATOA SIRI YA JANDONI TUACHE MAJANDO YA KIPUMBAVU YA KUFANYIANA UNYAMA WENYEWE KWA WENYEWE

HAYA SASA FAIDA YA SIRI YA JANDO NDIO HII SASA

RASHID AKA CHID ANARUDISHWA KTK FAMILY YAKE HUKU AME PATWA NA STROKE HAONI HATEMBEI HAONGEI WALA HAWEZI KUFANYA CHOCHOTE KWA MKONO YAKE MWENYEWE

NAKUJA KTK POINT YA MSINGI...........

NDUGU ZANGU WATANZANIA NILIKAA KIMYA KWA MUDA MREFU TOKA NIMELIGUNDUA ILI SWALA KUTOKANA NILIKUWA NALIFANYIA UCHUNGUZI WA KINA

TATIZO LA NDUGU YETU KUPATA STROKE LINATOKANA NA HOME BOY WANGU.....MTOTO WA MTAANI.........LAMWAI

LAMWAI NAJUA TUNAJUANA VIZURI SANA KUTOKANA WOTE SISI TUNATOKA TANDIKA LAST

WEWE UNATOKA MABATINI MIMI NATOKA MTAA WA MWALE FORMA CAMP..........

MASIKANI YETU KUBWA MIMI NA WEWE NI TANDIKA SOKONI

........NDUGU WATANZANIA MIAKA YA NYUMA KIDOGO WAKATI CHID AKIWA MZIMA WA AFYA.........

ALIKUWA DURBAN KWA ZULU NATAL AKAWA ANAISHI KWA LAMWAI....

LAMWAI ALIONDOKA NA KWENDA JOHANNESBURG

HUKU NYUMA KODI YA NYUMBA IKAWA IMEISHA IKABIDI CHID AUZE TV YA LAMWAI ILI ALIPE KODI......

TV HIYO ILIKUWA INA GHARAMA YA RAND 1000 KWA PESA YA KITANZANIA INAWEZA KUWA TSH LAKI MOJA NA ISHIRINI

HIYO NDIO TV CHID ALIUZA ILI ALIPE KODI.....

LWAMAI ALIKUWA JOHANNESBURG ALIPO PEWA TAARIFA AKAMWAMBIA CHID ANARUD DURBAN KWA ZULU NA ATAMUONYESHA

LWAMAI ALIRUDI DURBAN KWA ZULU NATAL DALTON

HAPO NDIO CHID AKAKIMBILIA RICHARDS BAY KWA USALAMA WAKE.......

LAMWAI AKACHUKUWA GARI NDOGO NA KUCHUKUWA WASOUTH AFRICA WAKAENDA RICHARDS BAY KUMTEKA CHID NA KUMRUDISHA DURBAN KWA ZULU NATAL DALTON........

LAMWAI ALIBADILIKA NA KUWA MNYAMA KWA KUTUMIA UTEMI WAKE NA PESA ALIYO NAYO WAKAMVUTISHA CHID MADAWA YA KULEVYA KIASI CHID AKAWA HAWEZI KUNYANYUA HATA MKONO ZAIDI YA KUANGALIA TU KUTOKANA NA KULEWA NA KUISHIWA NA NGUVU

Nipo na chid kwenye gari nampeleka Tanzania right now naandika huku nalia kutokana naona maumivu chid anayo yapata ktk moyo wake......

Lamwai brother lamwai brother lamwai brother nakuita mara mbili kwa nini umefanya hivi ndugu yangu wewe ni kama ndugu kwangu.........

Lamwai alimfanya Chid kuwa mke wake na kuwa ana mlawiti kila siku pasipo kumpa chakula wala maji pale chid nguvu zikianza kurudi anampa tena madawa kisha anamuingulia nyuma.........

.....CHID KAFANYWA BILA KUPENDA KUTOKANA NA KUKOSA NGUVU ZA KUJITETEA........

LAMWAI AMELALA NA CHID ZAID YA WEEK KWAKE DURBAN KWA ZULU NATAL DALTON........

WATANZANIA WALIKUWA WANAJUA LAKINI WALIOGOPA KUSEMA KUTOKANA LAMWAI ALIKUWA ETI ANAYAWEZA........

KAKA YAKE NA CHID JUMANNE AKA J4 ALIJUA KILICHO KUWA KINAENDELEA KWA MDOGO WAKE LAKINI SI MNAJUA MAISHA YA BEACH AKATULIZWA NA BUNDUKI

....CHID ALIFANYIWA UNYAMA WA KULAWITIWA NA LAMWAI KWA MUDA KAMA MKEWE MPAKA CHID AKAHADHIRIKA KISAIKOLOJIA.........

HICHI NDIO CHANZO CHA CHID KUPATA ILI TATIZO

HII CASE NI ZAIDI YA MIAKA MIWILI SASA......

BAADA YA WATU KUKEREKA NA KITENDO HICHO LAMWAI ALIKIMBILIA JOHANNESBURG........

HAPA TUNAVYO ONGEA LAMWAI YUPO LENDELA NA MUDA WOWOTE ANARUDISHWA TANZANIA

NIMEFATILIA KILA SEHEMU NA TAYARI NISHAPEWA TAARIFA ALIPO

KWA SASA YUPO LENDELA ALIKUWA NA CASE JOHANNESBURG AKAFUNGWA KWA SASA KATOKA YUPO LENDELA ANATAKIWA KURUDISHWA NUMBANI TANZANIA

LAMWAI UMEFANYA VIBAYA SANA KWA SASA SOUTH AFRICA ZIMA TANZANIA PAMOJA NA DUNIA ZIMA INAJUA

UONGOZI WA DURBAN KWA ZULU NATAL KUPITIA MWENYEKITI MOHAMEDI NAMOA KARACHI AMBAYE NI HOME BOY WA CHID KUTOKA KIWALANI WANAKUTAFUTA

KWA UFUPI LAMWAI UNATAFUTWA NA WATANZANIA WOTE......UJE KULIPA ULICHO KIFANYA KWA CHID

IMEANDIKWA NA MOHAMEDI TAIBALH MSANGI TAREHE 4/5/2025

TUNAHITAJI USHAURI NA MAONI JUU YA LWAMAI KUTOKANA YUPO LENDELA NA ANARUDISHWA TANZANIA MUDA WOWOTE ULE

Nimepata shida sana na Chid hata nikiwa namtawaza pale anapo kuwa amejisaidia anabana miguu huku anaonekana anataka kupigana lakini hawezi kufanya chochote.......

Nahisi Chid mawazo yake yanakuja anafikiria yupo na lamwai anataka kumuingilia tena.....

Nimepambana kumrudisha Chid kisaikolojia mpaka sasa ameamini kuwa yupo na mtu sahihi.....hata nikiwa nambisha pampazi anaonyesha ushirikiano.......

Inauma.........

Sanaaaaaaaaa

Huyu ndio lamwai ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 

Attachments

  • FB_IMG_1746431523504.jpg
    46.9 KB · Views: 38
Ukienda nje na huko kunakoitwa majuu kaa mbali na Wabongo. Hakuna watu wenye roho mbaya kama Wabongo aisee. Sasa wewe jifanye una roho nzuri umkaribishe mbongo sijui uje kukaa naye mpaka atakapopata mahali pa kujishikiza ndo utakuja kujua hujui. Ni afadhali ufanye urafiki na matapeli wa Naijeria au Wakenya hawana mambo ya kinafiki kama Wabongo - nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi on the let go.

Niliwahi kumpambania mngese mmoja wa Kihaya kupata kazi moja nzuri sana. Alipokuja kuipata hiyo kazi mi nikidhani nimepata Mbongo mwenzangu, alipokuja kunigeuka sikuamini yaani. Ningezubaa angenitoa roho aisee kisa tu anataka nafasi yangu pale kazini. Wabongo kama ni kusaidia saidia ukiwa mbali na usiruhusu mtu awe karibu na wewe mpaka ajue mishe zako....

Pole zake CHID na bila shaka Lamwai atawajibishwa hata kama haitamsaidia cho chote CHID.
 
Ila wabongo watu wa ajabu sana!Yaan mtu yupokitaa hapo hapo mwenzenu anafirwa masikikizia tu Hadi amekua kilema!Ukija bongo mtu anatekwa watu hata kusaidia tu aaah!Mimi nawakubali sana Wapopo(Nigeria)wajomba Wana ushirikiano sana,wapo tayari hata kutafuta mwanasheria mwenzao akiwa matatizoni au hata kumsaidia kiuchumi ila hizi kenge za Tz sasa!!!
 
Lamwai si mtu kaka ,poleni ila najua hamkumjua lamwai mapema mkahisi ni binadamu .
Back in days alikuwa mwanangu sana ,mishe mingi tukafanya katika masikani ya machungwa keko ila shida moja mwana ni mzurumati na mbinafsi ila zaidi uwana uliisha pale nilipogundua alikuwa anamkafiri dogo Ritto kwa siri huku akimtishia maisha ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

Naapa kuwa mimi si muuaji ila niliwahi kuwaza kumuuua huyu kindekela last time nikiwa bado kwenye vyombo vya dola alinikimbia pale Chipaka Tunduma ila kama akisoma hapa akumbuke nilichomuahidi .

Nilimweleza kuwa kamharibu dogo Ritto ,kakiuwa kizazi cha watoto wadogo niliowabeba kama watoto wangu kutokana na historia fanane ya maisha ila niliapa ipo siku yatamrudia .

Nikasema isingekuwa ban ya mimi kutoka bongo hakika ningemfuata huko kwa mandela .

Kama anasoma hapa mwambie mimi nipo na sijafa hivyo yale maovu kama anarudi Tanzania nitakuwa mmoja wa watakaolipia Chid ubaya wote .

Usela wa kitaa kwasasa ni nuksi wana ni masnitch alafu wajinga sana .

Lamwai wewe ni katili ,hufai kuishi ,hufai kuitwa mtu ila maiti inayotembea au shetani uliyeshushwa kukimaliza kizazi cha vijana wadogo
 
Umeuza TV yangu ya thamani ya 120K nasema nikirudi nakuonyesha.

Unatoroka. (I hope kutoroka haujatumia karibia 120K)

Nimedhamiria kukuonyesha kwamba hata ukinilipa 120K nitakataa kuipokea au ukinilipa 120K sikuonyeshi tena?

Au naleta utoto wa nataka TV yangu ileile? Au mi ni gangster so wewe kuuza TV yangu nachukulia umenishushia heshima?

Lakini tumeishi wote muda mkubwa sana tena chumba kimoja kwahiyo kama mi ni gangster unatakiwa uwe ushanijua na usingeiuza bila kunitaarifu.

Sijakuingilia tukiwa tunaishi wote ila nakuja kukuingilia kwaajili ya 120K?

Mi gangster gani 120K inanipa presha?

Hii ishu ni zaidi ya 120K.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ