ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wakuu Kama Mimi ndo sielewi kabisa.me nimevurugwa eti.me Ni chizi.kwa hiyo nataka kwenda mbele ila sielewi nipite wapi afu ukitegemea life linatumaliza.elimu ya bongo miyeyusho.kwanza wame tight afu mlolongo mrefu.sometime nagundua kusoma ndo kulituchelewesha.me nisingeenda shule Sasa hivi ningekuwa Nina Mali zangu kibao hat a huko kijijini.badala yake Mimi nikajifanya nasoma sekondari na chuo halafu hamna kitu nimeambulia.sipo kwenye system in short me Sina hela na sitaki mazoea.sema Nini nimechangamka kinoma