Watu tunalia na vifurushi vya NHIF Mtibeli amegundua bima ya elfu 40 , naipataje wadau ?

Watu tunalia na vifurushi vya NHIF Mtibeli amegundua bima ya elfu 40 , naipataje wadau ?

Usijaribu kukata hiyo bima ya chf unatibiwa Zahanati ndogo tu hospital za rufaa hawazipokei! Mi shuhuda mdg wangu alilazwa na vipimo vyote kuanzia utrasound tulilipia
Kuna watu haya mambo wanayachukulia poa sana
 
Back
Top Bottom