Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,715
- 2,385
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo CCTV camera mkuuWe mbona ulikuwa umekaa?
Hapo umenena mkuu..... mimi naona bora wafanye viti/siti zote ziwe n kwa wazee na watu wenye mahitaji maarumu...... kuwe hakuna kijana anayeruhusiwa kukaa wakati mzee amesimama sehemu yeyote kwenye gariWalipashwa wawe wanapanga foleni kulingana na jinsi walivyokata ticket. Hapo ndipo watu tulipashwa kuanza kujifunza ustaarabu. Na dereva anatakiwa aseme basi limejaa anapoona hakuna nafasi ya kutosha kufungua mlango freely. Kwa nini tugombee gari? Ni ushamba na upuuzi
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa ndio nini hiki...[emoji34] [emoji34]
Mbona heading na video hazina uwiano....[emoji45] [emoji45]
Hata wasukuma wakijua ramani ya ureno lazma uwajue tuWasukuma wakifika dar utawajua tu