Labda ungewapa context ya shida yako ili waweze kukusadia kwa uzuri. Unaandika barua? Unajaza fomu? etc. Je unalazimika kutumia terminologies za kihasibu?Naomba tafsiri ya sentensi hii nisije nikaingizwa mkenge
- balance due to me
- balance due to bursar