Watu wa accounts nisaidieni

Watu wa accounts nisaidieni

SIPIYU30

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
1,751
Reaction score
2,437
Naomba tafsiri ya sentensi hii nisije nikaingizwa mkenge

  1. balance due to me
  2. balance due to bursar
 
Naomba tafsiri ya sentensi hii nisije nikaingizwa mkenge

  1. balance due to me
  2. balance due to bursar
Labda ungewapa context ya shida yako ili waweze kukusadia kwa uzuri. Unaandika barua? Unajaza fomu? etc. Je unalazimika kutumia terminologies za kihasibu?
 
Najaza fomu.
Nilipewa hela sasa nilitumia nyingi kuliko niliyopewa, na hiyo inayozidi wanatakiwa wanilipe.

Imeandikwa "balance du to me/bursar"
sasa natakiwa nikate isiyotakiwa, inatakiwa ionekane ninadai kwa bursar.
Common sense inaniambia nikate "me" ibaki "balance due to bursar itakuwa sahihi?
Nawajua jamaa nikikosea ndo watanipigilia msumari
 
Hiyo ni 'balance due me' yaani wewe ndiye unayetakiwa kulipwa.
 
Humu jukwani sijui kama wengine tunafanya jokes au tuko serious
 
Back
Top Bottom