Watu wa Asia Mashariki wana akili sana, tuwe nao makini

Watu wa Asia Mashariki wana akili sana, tuwe nao makini

Umesema ukweli kabisa.wewe fikiria tu wao watachimba graphite halafu watengeneze betiri ambazo watatuuzia sisi Kwa bei kubwa na sisi tulichoambulia ni kupewa mkopo kausha damu ambayo tutailipa Kwa riba kubwa.halafu kunawapuuzi wanasema wanafunguanchi.wajukuu wetu watakuja kutushangaa sana kujiuliza hawa mababu zetu walikuwa mbumbumbu kiasi hichi?
 
Labda Wareno waliongeza viwatilifu kwenye Mahindi ili yatuongezee hamu ya Ngono ili waweze kujipatia Watumwa wa kutosha🤔
Hivi tulitawaliwa mpaka na Wareno, kweli blacks Shubamiti.
 
Watu hawa wa East Asia:-
i, Wakorea
ii, Wachina
iii, Wajapan.
Wana akili sana.

Sisi waafrika weusi hatuna akili nyingi sana, tuna akili ndogo tu za kawaida za kuvukia barabara.

Ni muhimu sana kuwa makini juu yao pamoja na ufinyu wa akili tulizonazo.

Tutambue kuwa sisi na wao hatupo sawa hata kidogo hata kwenye evolution tunatofautiana hatua wao wapo hatua ya mbele yetu kuliko sisi.

Hawa watu wa east Asia wana akili sana nawafahamu wachina kiasi.

Hawa watu wana malengo yao tena makubwa tu sisi tunaishi bora liende.

Sisi waafrika weusi kwa sababu tuna akili ndogo sana ukilinganisha na wao hivyo tunakosa malengo tunaishi bora liende wao hawaishi hivi.

Sio rahisi akili ndogo kuishinda akili kubwa.
Hii ndio akili yako
 
Wareno walianza kutawala Miji mingi ya Pwani ya Afrika Mashariki kuanzia Msumbiji Tanzania Kenya walishindwa kuitawala Somalia tu.
Ni masikitiko kwakweli saiv tumejikabidh tena tutawaliwe kiuchumi ati tumeshindwa kuendesha wenyewe. Ni msiba.
 
Watu hawa wa East Asia:-
i, Wakorea
ii, Wachina
iii, Wajapan.
Wana akili sana.

Sisi waafrika weusi hatuna akili nyingi sana, tuna akili ndogo tu za kawaida za kuvukia barabara.

Ni muhimu sana kuwa makini juu yao pamoja na ufinyu wa akili tulizonazo.

Tutambue kuwa sisi na wao hatupo sawa hata kidogo hata kwenye evolution tunatofautiana hatua wao wapo hatua ya mbele yetu kuliko sisi.

Hawa watu wa east Asia wana akili sana nawafahamu wachina kiasi.

Hawa watu wana malengo yao tena makubwa tu sisi tunaishi bora liende.

Sisi waafrika weusi kwa sababu tuna akili ndogo sana ukilinganisha na wao hivyo tunakosa malengo tunaishi bora liende wao hawaishi hivi.

Sio rahisi akili ndogo kuishinda akili kubwa.
Sio tu wa Asia pamoja na upumbavu mwingi wa ulaya na Amerika ila wanatuacha ngozi nyeusi mbaaali mnooo,sasa fikiria tunang'ang'ana na fitna za ngozi nyeusi huku wajinga wajinga wanaendelea kutuibia kila siku☺️
 
Na viungo vya uzazi umesahau..sie ni kutiana muda wote tu.
Hako kamchezo wenyewe wanakafanya sana mfano wachina, kihistoria walivyogundua ili waendelee wanahitaji nguvu kazi serikali yao iliwalazimisha wazaane kwa wingi ndio ile Agricultural revolution of China mpaka sasa jamaa wako billion 1+ so suala la mnyanduano wako vizuri pia.
 
Back
Top Bottom