Watu wa Asia Mashariki wana akili sana, tuwe nao makini

Achana na mada, hivi mbususu za bei chee napata wapi hapa moro?
 
Umesema ukweli kabisa.wewe fikiria tu wao watachimba graphite halafu watengeneze betiri ambazo watatuuzia sisi Kwa bei kubwa na sisi tulichoambulia ni kupewa mkopo kausha damu ambayo tutailipa Kwa riba kubwa.halafu kunawapuuzi wanasema wanafunguanchi.wajukuu wetu watakuja kutushangaa sana kujiuliza hawa mababu zetu walikuwa mbumbumbu kiasi hichi?
 
Labda Wareno waliongeza viwatilifu kwenye Mahindi ili yatuongezee hamu ya Ngono ili waweze kujipatia Watumwa wa kutosha🤔
Hivi tulitawaliwa mpaka na Wareno, kweli blacks Shubamiti.
 
Hivi tulitawaliwa mpaka na Wareno, kweli blacks Shubamiti.
Wareno walianza kutawala Miji mingi ya Pwani ya Afrika Mashariki kuanzia Msumbiji Tanzania Kenya walishindwa kuitawala Somalia tu.
 
Hii ndio akili yako
 
Wareno walianza kutawala Miji mingi ya Pwani ya Afrika Mashariki kuanzia Msumbiji Tanzania Kenya walishindwa kuitawala Somalia tu.
Ni masikitiko kwakweli saiv tumejikabidh tena tutawaliwe kiuchumi ati tumeshindwa kuendesha wenyewe. Ni msiba.
 
Sio tu wa Asia pamoja na upumbavu mwingi wa ulaya na Amerika ila wanatuacha ngozi nyeusi mbaaali mnooo,sasa fikiria tunang'ang'ana na fitna za ngozi nyeusi huku wajinga wajinga wanaendelea kutuibia kila siku☺️
 
Na viungo vya uzazi umesahau..sie ni kutiana muda wote tu.
Hako kamchezo wenyewe wanakafanya sana mfano wachina, kihistoria walivyogundua ili waendelee wanahitaji nguvu kazi serikali yao iliwalazimisha wazaane kwa wingi ndio ile Agricultural revolution of China mpaka sasa jamaa wako billion 1+ so suala la mnyanduano wako vizuri pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…