Watu wa bara acheni ujuaji mkija mjini

Omopa

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2022
Posts
335
Reaction score
1,466
Naona hii tabia inaota mizizi kila uchwao siku baada ya siku tabia ya watu wa bara kujikuta ujuaji matokea yake mnaharibu kila kitu kama Utada poa nyie ni watu wa mwanzo kuuleta huku bara yaani mmeharibu dada zetu watu wa pwani yaani sio pos hawashikiki hata kidogo sababu ni yenu.

Baada ya kuja nyie miji yetu ya imekosa utastaarabu kila kona kwanini hamkujifunza kutoka kwetu nyie watu kila sehemu ukienda ni uchafu kila kona ukiuliza nini wanakuambia mtu fulani kutoka huko bara ameyafanya hawa sasa mtu unabaki kushangaa hawa watu kwanini wanafanya hiv? Lengo la ni nini hasa?

Kila siku ni ugomvi kila kukicha aisee chanzo ni watu wa bara yaani nyie wattu kwanini mmekosa ustaarabu? Ebu acheni basi nyie watu shida nini?

Mnanikera sana!badilikeni kama huku mjini kumewashinda ebu rudini huko kwenu shamba.
 
Kaa utulie utueleze vizuri sisi watu wa bara.
 
Ukiulizwa ni ustaarabu gani mlionao wa pwani ni upi? Usinitajie kutawaza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…