mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Kweli ustaarabu ulianzia pwani, yaani usiku wa manane nimelala nasikikia, nantondo lolo mayo, nikadhani ni vibaka wa kike au wachawi kumbe wanaokota kumbikumbi kuzunguka nyumba.
Ustaarabu kazi
Kidogo nitoke na manati yangu.
Sie wengine tuna madeni mengi sana ukikatizwa usingizi kuupata tena ni shughuli
Ustaarabu kazi
Kidogo nitoke na manati yangu.
Sie wengine tuna madeni mengi sana ukikatizwa usingizi kuupata tena ni shughuli